Jibu swali na kumbuka ulijibu nini kipindi cha nyuma anaweza kuuliza swali hilo mara mbili au zaidi yaani mwanzo wa mahojiano na katikati kama vile amesahau. Jitahidi kuwa fluent katika lugha ya mahojiano kama huwezi omba uwe na mkalimani. Muda utakaokaa kule, Je, wewe unafanya kazi gani hivi sasa, wakati haupo utakuwa kwenye likizo au vipi? Kumbuka likizo za Tanzania ni za miezi wakati huku Alaska likizo inaweza kuwa wiki moja, siku moja wiki mbili nk. ni adimu kupata likizo ya mwezi mzima, yaani unachukua wiki moja mwezi huu then baada ya miezi mitatu unachukua wiki mbili nk. Wengi wananyimwa viza kwa kuchukua likizo zao kwa mkupuo ati mwezi mzima, wanakuwa na mashaka.[/B][/SIZE][/COLOR][/I]