Msaada: Usaili Ubalozi wa Marekani!

Msaada: Usaili Ubalozi wa Marekani!

Sio fujo mkuu! Hembu piga picha umekwenda ubalozi wa Marekani kuomba Visa umefuga ndevu dizaini ya kina Osama halafu umevalia lile vazi jeupe juu umepiga kilemba chini umepiga Kobasi!

Acha kujidanganya wewe kinachotakiwa ukamilishe makaratasi, nenda basi umevaa msalaba halafu hauna bank statement huone kama utapata viza.
 
Halafu wao wakija bongo wanachukua visa airport. Mbambaf kabisa! Yaani hatuna thamani kabisa kwa hawa wakoloni
kahtaan salama mkuu, habari za siku mbili tatu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kama raia wa Us akitaka kuja huku huwa wanapata usumbufu kwenye balozi zao kama sisi tinavyotaabishwa huku?

Mshomba; hakuna usumbufu wwt. Ukiingia ubalozi wetu ulioko usa wanakaribishwa na chai ya bure na visa zao wanapewa fasta na wala hawahitaji kwenda ubalozini kwetu. Wao ni kubeba begi na kwenda airport tu. Visa wakitua bongo wanapewa on arrival. Na maafisa wetu wa uhamiaji akiona mmarekani anajichekesha mpaka jino la mwisho unaliona, kisa! May be kuna vidola kidogo ataachiwa akatese uswahilini .
Yaani siku tutaacha kuwanyenyekea hawa wakoloni. Siku hio mi ntachinja bata wetu woote kwa furaha! Na yule sungura wa shangazi pia ntachinja!
Naapa vile!😀
 
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.

Ungetishia kuwashtaki wangekufanyia interview upya na ungepewa tu,jamaa yangu way back 2004 alikwenda pale wakamyeyusha kwa style hizo kwa bahati wakati anatoka pale akakutana na mch.Mtikila ambaye kwa bahati naye alikuwa amakwenda hapo kwa issue hizo,katika kusalimiana na mshikaji kuulizwa vipimbona anaonekana yupo disppointed akamueleza masaibu yake,basi Mtikila akamshauri awashtaki na awaeleze kwamba anawachukulia hatua hizo za kisheria,baada ya jamaa kuwaeleza hivyo na wiki iliyofuata kuwapelekea baruakutoka kwa mwasheria wake kama alivyoelekezwa na Mtikila hao jamaa wakamwita upya na alipewa visa bila maswali swali ya ajabuajabu.Kimsingi hawana haki ya kukunyima visa kirahisi rahisi kama vigezo vyote unavyo.Uoga wetu mara nyingi imekuwa ndo kushindwa kwetu.
 
Sisi wabongo ndio tunafanya tudharauliwe mimi nimewai kufika pale ubalozini mara nyingi wale maaskari na walinzi binafsi wa kibongo wanavyotreat wabongo na watu wa rangi zingine ni tofauti kabisa dah safari bado ndefu wakuu.
 
Viza ya USA ni kama ramli tu, pale ubalozini wajuaji ndio huwa wanakosa Viza kwa wingi, na wale tunaowaita mafala ndio wanaofanikiwa kupata Viza kwa wingi, ukitaka kuamini maneno yangu siku ukifika Marekani na ukakutana na Watanzania utashangaa kuona mambwiga kama hawa walipataje Viza?

Mpaka sasa hivi Viza isiyokuwa na longolongo ni Sheghen Viza tu, Marekani walishawahi kumtosa Viza Mzee John Malecela bila kujari kama alishika nyadhifa kubwa nchi hii.
 
Acha kujidanganya wewe kinachotakiwa ukamilishe makaratasi, nenda basi umevaa msalaba halafu hauna bank statement huone kama utapata viza.
Na wewe kitu kama hujui uliza ueleweshwe, kuna Viza Category nyingi, Student Viza ndiyo inahitaji uwe na Bank statement ya sponsor wako atakayegharamia masomo yako au bank statement yako kama utajigharamia mwenyewe, maybe na Tourist Viza.

Sasa ubalozi wa Marekani hauitaji lundo la makaratasi kumpa mtu Viza, hawaamini katika makaratasi bali mdomo kwa mdomo na counsulor amepewa uwezo wa kutoa au kunyima viza.

Tip: Ni lazima watu wanyimwe Viza kwa sababu Marekani imepanga wastani wa raia wa nchi fulani kuingia kwao kwa mwaka na ubalozi huwa unaplan kwa siku watoe Viza zisizozidi ngapi? hata wote siku hiyo muwe mmekamilika lakini wa kutoswa ni lazima wawepo na hakuna swala la wote kupewa Viza.
 
Halafu wao wakija bongo wanachukua visa airport. Mbambaf kabisa! Yaani hatuna thamani kabisa kwa hawa wakoloni

sidhani kama ni hivyo, hata wao wanatakiwa waombe viza ubalozi wetu DC kabla hawajatia timu kwetu.
 
Viza ya USA ni kama ramli tu, pale ubalozini wajuaji ndio huwa wanakosa Viza kwa wingi, na wale tunaowaita mafala ndio wanaofanikiwa kupata Viza kwa wingi, ukitaka kuamini maneno yangu siku ukifika Marekani na ukakutana na Watanzania utashangaa kuona mambwiga kama hawa walipataje Viza?

Mpaka sasa hivi Viza isiyokuwa na longolongo ni Sheghen Viza tu, Marekani walishawahi kumtosa Viza Mzee John Malecela bila kujari kama alishika nyadhifa kubwa nchi hii.

Ngoja rais wetu wa wabeba maboksi Nyani Ngabu aje akuhabarishe!
How dare you call us mafala?
Dude, you must be just jealous!
 
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.

Pale hakuna formula, unaweza ukanyimwa wewe ambaye unadhani document zako zimekamilika sana akapewa mwingine ambaye document zake ni basic tu.
Kuna mtu huwa anakuja kumtembelea rafiki(sio ndugu) kila mwaka na anapewa viza kila akitaka na huu ni mwaka wa tano.

Inategemea vitu vingi na vingine vya kipuuzi, inategemea anayekuhoji anakuonaje esp akiwa jinsia tofauti na wewe, wapo wanaotumia logic na wapo wanaotumia feelings kutoa maamuzi.
 
Na wewe kitu kama hujui uliza ueleweshwe, kuna Viza Category nyingi, Student Viza ndiyo inahitaji uwe na Bank statement ya sponsor wako atakayegharamia masomo yako au bank statement yako kama utajigharamia mwenyewe, maybe na Tourist Viza.

Sasa ubalozi wa Marekani hauitaji lundo la makaratasi kumpa mtu Viza, hawaamini katika makaratasi bali mdomo kwa mdomo na counsulor amepewa uwezo wa kutoa au kunyima viza.

Tip: Ni lazima watu wanyimwe Viza kwa sababu Marekani imepanga wastani wa raia wa nchi fulani kuingia kwao kwa mwaka na ubalozi huwa unaplan kwa siku watoe Viza zisizozidi ngapi? hata wote siku hiyo muwe mmekamilika lakini wa kutoswa ni lazima wawepo na hakuna swala la wote kupewa Viza.

Wewe kauzu kabla haujaongea mataputapu yako msome mleta mada anataka viza ya aina gani na mimi nilikuwa namjibu nani.

Nani amekuambia anataka orodha za aina ya viza nikitaka sinaingia kwenye site yao. unakwenda Marekani kutembea halafu wasikuombe bank statement.

Acha uongo wewe umejuaje mambo ya familia ya Malecela au wewe mpambe wa LE MUTUZ.
 
Hakuma swala la bank statement kama unakwenda kutembea Marekani muongo mkubwa wewe.
 
sidhani kama ni hivyo, hata wao wanatakiwa waombe viza ubalozi wetu DC kabla hawajatia timu kwetu.

hii ni information kutoka website ya ubalozi wa tz kwa ufahamu zaidi,
almost Nchi zoote za europe na USA wanapewa visa on Arrival,
Hawa watu wanaimrisha serikali yetu ifanye wanavyo taka wao na hiyo ni SAD truth,,
nakariri:
Can we get our visa on arrival?
Yes, you can get a visa on arrival at the airport or at any entry point into Tanzania such as at Dar-es-salaam International Airport, Kilimanjaro International Airport, Zanzibar International Airport, Namanga (Tanzania – Kenya Border Post to the North), Tunduma (Tanzania – Malawi Border post to the South), Taveta and Holili (Tanzania – Kenya Border post to the North East)
 
hahahaaaa aya bwana Ndallo
 
Last edited by a moderator:
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.

Na kama uncle wako angekuwa kakaa mwaka mmoja nadhani wangekwambia hamna aja ya kwenda bado hajakaa muda mrefu sana kiasi cha kukufanya wewe uende! Tatizo wabongo wengi hamjiamini,ulitakiwa umuulize na yeye maswali ya msingi tu sio kukata tamaa ghafla. Mimi wananijua pale ubalozini..na ndio maana naenda US ka nnavyoenda sinza kunywa bia..
 
Hivi unafahamu maana ya Interview wewe? yaani uulizwe maswali badala ya kujibu swali umgeuzie maswali Consular? labda huwa unakwenda USA River kama Sinza na siyo US.
 
Tatizo hujanielewa yaanin umekurupuka tu kama Nape! nilichomaanisha ni kwamba watu wengi wakishakataliwa visa huwa hawahoji ni nkwa nini wamekataliwa..kitu ambacho kinakubaliwa na ndio maana kuna nafasi ya kuappeal sasa kama wewe hujui kaa kimya tu usikimbilie kureply kabla hujaelewa kitu. Asante sana.
 
Back
Top Bottom