Asante sana kwa majibu mazuri, ubarikiwe!!!Maswali yatalenda hapa - anakwenda kufanya nini? Atakaa muda gani? Nani anagharamia safari yake? Ushahidi kuwa atarudi. Ajiandae kuonyesha document za kusupport majibu yake - Mfano proof kuwa utarudi (ties to Tanzania) barua ya kazi, properties na familia. Nani atagharamia safari - bank statement (at least three months) kuonyesha unayo pesa, pia mwenyeji wake US akileta barua kuonyesha atakaa wapi akiwa US itasaidia otherwise kama utakaa hoteli bank statement itabidi ionyeshe pesa ya kutosha na arrangement za hoteli. Interview zinatofautiana kutegemea na mtu utakayekuiterview na wewe mwenyewe. Anaweza asiulize kuona document yoyote na ukapewa visa au ukanyimwa.
Intiiiooo IniBiiii
Mdau wa mwanzo alichosema ni sawa kabisa. Akumbuke mazingira ya interview yako kama benki pale unapoenda kwa taller yeye anakuwa the other side na wengine wanaskia so ajiandae kwa hilo.Kama yuko chuo ni vizuri kuomba barua ya dean kwamba ni mwanafunzi na atarudi kwa ajili ya masomo.Na kama yuko kwa ofisi anatakiwa awe na barua ya mwajiri.invitation letter kutoka kwa the friend niya muhimu mno.
Please my friend Americans have no mercy, never kind at their embassy.Be serious and very strait forward usijichekeleshe utakosa.
Sio fujo mkuu! Hembu piga picha umekwenda ubalozi wa Marekani kuomba Visa umefuga ndevu dizaini ya kina Osama halafu umevalia lile vazi jeupe juu umepiga kilemba chini umepiga Kobasi!Ndallo izo sasa fujo...je kama mtu ni staili yake apendayo ya kufuga ndevu nyingi?
kaka kushusha ndege easy tu siku hizi kuna game za flight simulator ukiiweza unarusha ndege...hapa jamii forums kuna hadi wataalam wa uranium za bilali hata ukitaka tengeneza kinu its possible.......ONLY IN JF THE PLACE WHERE IT NEVER SLEEPSHii ndio faida ya Jamii Forums.....hata kama uko ANGANI umeshindwa kushusha ndege, wewe uliza hapa jinsi gani ya kuishusha na bila shaka utasaidiwa.
Hapo hakuna visa ndugu yangu. We unasema rafiki? Mie uncle wangu kabisa ninekwama. Nimepeleka hati ya nyumba leseni ya biashara cheti cha ndoa vyeti vya kuzaliwa watoto wawili mkataba mnono wa kazi bank statement iliyonoga na clearance ya polisi. Wakasema simply 'anko wako kakaa US miaka 6 sasa ni bora yeye aje kutembelea ndugu zake na sio weww kwebda huko' jamaa fedhuli kisha akaita mutu ingine...mie nikapewa kapaspoti kangu.
USA hawatabiriki kabisa unaweza ukaona mwingine ambae hana sifa na docs kama zako anapewa fasta hata bila maswali mingi!ukienda wewe,unapigwa maswali hadi unaomba Mungu usingeenda!
cmoney njoo tuunganishe nguvu tutengeneze Nuclear Plant kwa matumizi ya UMEME tu mkuu!kaka kushusha ndege easy tu siku hizi kuna game za flight simulator ukiiweza unarusha ndege...hapa jamii forums kuna hadi wataalam wa uranium za bilali hata ukitaka tengeneza kinu its possible.......ONLY IN JF THE PLACE WHERE IT NEVER SLEEPS
Hawasumbuliwi kabisa wala hawaombi visa wakifika mpakani kama holili au namanga wanagogewa tu mhuri wanaingia TZ vilevile airportHivi kama raia wa Us akitaka kuja huku huwa wanapata usumbufu kwenye balozi zao kama sisi tinavyotaabishwa huku?