M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,937 Sep 10, 2021 #1 Habari wadau, Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4! Unakuwaje Kuna basi? Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma? Nawasilisha kwa msaada please!
Habari wadau, Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4! Unakuwaje Kuna basi? Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma? Nawasilisha kwa msaada please!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Sep 10, 2021 #2 Kuna malori
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,003 Sep 10, 2021 #3 Kuanzia SAA ulizotaja.... panda gari ikakuache Shy... za kutoka Bukoba na Kampala kuelekea DSM zitakukuta kwenye saa 6
Kuanzia SAA ulizotaja.... panda gari ikakuache Shy... za kutoka Bukoba na Kampala kuelekea DSM zitakukuta kwenye saa 6
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Sep 10, 2021 #4 Subiria magari ya Dar Mwanza
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,937 Sep 10, 2021 Thread starter #5 Statistics said: kuanzia SAA ulizotaja.... panda gari ikakuache shy... za kutoka bukoba na Kampala kuelekea DSM zitakukuta kwenye saa6 Click to expand... Nashukuru ...U mean Tinder sio! Option nzuri pia!
Statistics said: kuanzia SAA ulizotaja.... panda gari ikakuache shy... za kutoka bukoba na Kampala kuelekea DSM zitakukuta kwenye saa6 Click to expand... Nashukuru ...U mean Tinder sio! Option nzuri pia!