Msaada: Usafiri mzuri from Dar to Geita

Msaada: Usafiri mzuri from Dar to Geita

uhurumoja

kamata fast jet mdogo wangu nauli elfu79 tu bda ya saa1 uko mza mjini chukua costa ya kwenda geita,lala lodge nzuri yenye usalama,nenda karipoti ila usilale ambassador su lenny hotel
 
Last edited by a moderator:
Acha ushamba wewe usafiri mzuri ni ndege tu. Achana na hayo mabasi mabovu yenye umri wa miaka 30 na masereva walevi wa milungi. Hakuna usafiri hapo. Panda ndege mpk mwanza then unachuku tax kwenda geita derever tax anaendesha unser your control

kweli za kuambiawa changanya na zako.utoke na taxi mwanza,sengerema hadi geita?sijui km hela za escrow inawezekana.
 
Ukipangiwa Geita mjini,njoo PM nikupe ramani ya vyumba usihangaike na madalali,vipi una kadi ya Chadema?Muhimu sana hiyo
Amina sana kaka naomba iwe hivyo kadi sina mi ni mpiga kura tu nategemea Sera zaidi ukinishawishi nakuchagua.
 
kamata fast jet mdogo wangu nauli elfu79 tu bda ya saa1 uko mza mjini chukua costa ya kwenda geita,lala lodge nzuri yenye usalama,nenda karipoti ila usilale ambassador su lenny hotel
Mgomo wa madreva unanifanya nifikirie njia hii ya angani hivi naweza kata tiketi leo na kuondoka kesho!!?
 
kweli za kuambiawa changanya na zako.utoke na taxi mwanza,sengerema hadi geita?sijui km hela za escrow inawezekana.
Kaka ni changamoto hapa kutoka goms tu hadi ubungo kukata tiketi gharama ya boda imenishinda hao wa teksi hata kuuliza nitashindwa mi mwalim tarajali jama.
 
Mgomo wa madreva unanifanya nifikirie njia hii ya angani hivi naweza kata tiketi leo na kuondoka kesho!!?

Inawezekana kabisa kaka ingia kwenye mtandao uchek hta saiv jpo itakua ghali kidogo kata ya kuondka asubuhi sana sa2 asubuhi uko Mwanza,kwenye saa4 asubuhi utakua geita
 
Asante naelekea airport kuangalia uwezekano.
 
Asante Mr eddy natarajia kufikia sehem ambayo ni salama zaidi kulingana na mazingira ya mji sababu ni mizigo na kesho yake (j5) natarajia kuacha hapo mizigo ili kufatilia mambo ya kazini kama usajili kisha mizigo nichukue baadae kwa uzoefu wako naomba uniambie kipi bora kati ya hotel au guest

Ktk hali ya kawaida hotel ni bora kuliko guest,ila useme hali ya uchumi ndio inakuwa kikwazo na kumlazimisha mtu afikie guest.
 
Asante Mr eddy natarajia kufikia sehem ambayo ni salama zaidi kulingana na mazingira ya mji sababu ni mizigo na kesho yake (j5) natarajia kuacha hapo mizigo ili kufatilia mambo ya kazini kama usajili kisha mizigo nichukue baadae kwa uzoefu wako naomba uniambie kipi bora kati ya hotel au guest

Kama ukiona vipi unaweza panda mabus ya mwanza ukalala nyegezi,alafu asubuhi saa 12 ukachukua mabus ya kwenda geita na kwenye saa 3 unakuwa umeshafika.
 
Acha ushamba wewe usafiri mzuri ni ndege tu. Achana na hayo mabasi mabovu yenye umri wa miaka 30 na masereva walevi wa milungi. Hakuna usafiri hapo. Panda ndege mpk mwanza then unachuku tax kwenda geita derever tax anaendesha unser your control

Busamwa,huyu mtu amekwambia anahitaji usafiri wa bus,wewe unamwmbia kupanda bus ni ushamba apande ndege,hivi ni bisara gani umetumia ktk kumjibu? Kupanda ndege siyo ujanja na kupanda bus siyo ushamba.
 
Acha ushamba wewe usafiri mzuri ni ndege tu. Achana na hayo mabasi mabovu yenye umri wa miaka 30 na masereva walevi wa milungi. Hakuna usafiri hapo. Panda ndege mpk mwanza then unachuku tax kwenda geita derever tax anaendesha unser your control
Tujitahidi kutumia angalau busara wakati tunachangia hoja mbalimbali na siyo kumjibu mtu kama umelazimishw,kama haupo tayari kuchangia basi unaoma tu.
 
Back
Top Bottom