Naomba kuchangia maneno....'eee sara acha majivuno wee, usiwe kama mwanaisha kanikataa kwa kuwa mimi ni mshona viatuu, kampata mshikaji mwingine eee mwenye gari kubwa sana mtumba, kavunja uchumba mwanaisha, sababu ya bwana mwenye gaari....tamaa yako mwanaisha, itakuponza...kwa kumpata yule bwana, mwenye mtumba...na kunidharau mimi, mshona viatuu..,eee sara acha majivuno wee, usiwe kama mwanaisha.....