moderm ni mali ya halotel coz imeandikwa manufacture by halotel na model ni D6601 3G moderm na ukiweka laini nyingine inakuwa kupa ujembe"invalid simcard please insert halotel simcard" na inatumia dashbord ya kawaid sio hiliink.Haya matatizo ya Modem yamekua Lukuki
Labda pia ni sababu wataalaamu wa Jukwaa hili hawanunui tena maana walizo nazo ni high end tayari!
Wengi wameomba msaada wa Ku unlockiwa Modem ila wanashindwa kutoa details za kutosha
1.Modem Full Model and Manufacture e.g Huawei E303h-1 au E303s-2 na sio kutaja tu E303
2.Je ni Hi Link au Sio Hi Link(Inatumia Browser ku connect au software ya kawaida)
3.Je Ukiweka SIM card ya kigeni unapewa Ujumbe Upi?
4.Labda hata Serial Number au Firmware Iliyowekwa inaweza kusaidia kama unaweza kutoa
N:B: Details Nyingi utazipata kwa kuondoa Mfuniko wa Modem japo kuna nyingine unaangalia kwenye Diagnotics za dashboard ya Modem
Hizo details zote zinatusaidia kujua pakuanzia kama ni Modem za ZTE kama hizi za Vodacom nazosikia wamezi Lock dashboard pekee tu kama kawaida ya Vodafone.
Ukitwambia Kama ni Hi link au Sio Hi link inatusaidia kutofautisha Modem moja na Nyingine maana procedure inabadilika kama modem imewekewa firmware ya Hi link
Ukiweka SIM Card ya kigeni ukapewa Ujumbe wa kuwa ni Invalid SIM Card tunajua ni modem ya kubadilisha Firmware tu
Ukitwambia Serila Number na Firmware wakati mwingine inaweza kusaidia kwa modem za kisasa mfano Huawei E3272h ina categories mbili moja wanayotumia Tigo 4G Serial # G4P**** una Unlock kwa Code wakati kuna model kama hiyo hiyo ila serial number tofauti unabadilisha tu Firmware kazi imesisha.
Tukirudi kwako mimi na uelewa na modem kadhaa ila hiyo ya Halotel sijawai hata kuiona isipokua kwa Picha tu hivo ingependeza u digest info zote labda tupekue mtandaoni tukupe Guide!
kukosea ndo kujua BRO kama waweza nisaidia nisaidie sio kunipa siasanenda kanunue universal modem achana mambo ya ku unlock coz ukikosea tu ku unlock imekula kwako!
pia gharama ya modem za Halotel ni 35,000 na Universal modem gharama yake ni kuanzia 35,000 mpaka 40,000 kutokana na eneo gani ulipo hapa Tanzania.
moderm ni mali ya halotel coz imeandikwa manufacture by halotel na model ni D6601 3G moderm na ukiweka laini nyingine inakuwa kupa ujembe"invalid simcard please insert halotel simcard" na inatumia dashbord ya kawaid sio hiliink.
Poa feedback ila mnivumilie kwasasa.Download DC-Unlocker kutoka HAPA
Ingiza Modem katika Computer ,Bila kufungua Dashboard ya Modem,Fungua DC Unlocker then Bonyeza ile Search Button(Iko kama Lens) ku detect Modem yako.
Utapewa Output ya Modem yako iko Locked Dashboard ama Iko locked na Customized firmware ila pia itaweza kutwambia hii Modem inasemekana ni ZTE na sio Halotel Group kama ilivo branded.
kutoka kwenye hiyo Output ambayo uta Post picha yake tutajua way forward.
mkuu hizo universal ziko wap? unazo kama ndio nahitaji pia zna kiasi gan mbps?nadhani hii hata mimintangoja ukijibiwa nipate details,ilawa kwanz kashakujibu vizuri nadhani ni kufanyiakazi..siku hizi nimekuwa mbali namambo ya unlock modem maana simu imekuwambadalawamodem na hata sijuizilipoteleaga api modem zangu....ila now ngoja nijaribu kumiliki tena
ndio nataka kutafuta piamkuu hizo universal ziko wap? unazo kama ndio nahitaji pia zna kiasi gan mbps?
ndo ujumbe naopewa nikitumia dc unlocker na hata nikiweka laini husika.Download DC-Unlocker kutoka HAP
Ingiza Modem katika Computer ,Bila kufungua Dashboard ya Modem,Fungua DC Unlocker then Bonyeza ile Search Button(Iko kama Lens) ku detect Modem yako.
Utapewa Output ya Modem yako iko Locked Dashboard ama Iko locked na Customized firmware ila pia itaweza kutwambia hii Modem inasemekana ni ZTE na sio Halotel Group kama ilivo branded.
kutoka kwenye hiyo Output ambayo uta Post picha yake tutajua way forward.
Moderm mzigo mkuu...! Actually Nina miaka 2 sijatumia moderm .....and life goes....moderm inamuhimu wake bro dif na hotspot
the modem is ZTE Then it can be unlocked............try this app A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATORView attachment 330030
ndo ujumbe naopewa nikitumia dc unlocker na hata nikiweka laini husika.
haidai unlock code but inanipa notification insert halotel simcardthe modem is ZTE Then it can be unlocked............try this app A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATOR
....nawait msaada wenu juu ya hii moderm