Technology ya ma dvd deck imeshapitwa na wakati kalitupe kwa wauza chuma chakavu . Nunua ndude za kisasa tena bei nafuu mambo ya bluetooth utaenjoy huna haja ya mawaya. Hivyo usilihifadhi hilo ukadhani unarasilimali ndani tena watoto huwaruhusu kuligusa eti la baba. Subiri usiku wa manane changanya kwenye takataka tupa jalalani watu wasikuone nalo
Pole sana
Cd zinatofautiana
Na rens zinatofautiana
Kuna rens ni univers zinaweza kusoma format zote
Japo ni ngumu [emoji331] kua univers
Hiv unajua kuna cd nzito kidogo?[emoji23][emoji23]
Na hata speed zinatofautiana kuzunguka ndani ya deck
Anyway tafuta cd nyingine au badili rens isome hizo ulizonazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.