Msaada unatakiwa ASAP!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unatakiwa ASAP!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Vato, Dec 1, 2011.

 1. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  ..hivi wakuu haya makampuni yetu ya ulinzi yanamchaji client bei gani mathalani kama wakimpa full time mlinzi 1 wakulinda nyumba au ofisi?? Taja kampuni na bei yake na kama inawezekana comment na ubora wa walinzi wenyewe.
   
 2. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Omega Nitro (T) Ltd
  Tanzania
  Mikocheni B
  Plot 342
  Off TPDC / Garden Road
  Dar es Salaam
  Tanzania
  Contact Details
  Tel: +255 222 772060
  Fax:+255 222 772060
  embu wacheki hao uwaulize
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu haya makampuni huwa chaji zao haziko flat, yaani inategemea na aina ya mteja, mali na siraha itakayo tumika

  - Kampuni kama za kk Guard na Ulitimate security ndo makampuni yanayo ongoza kwa kuchaji ghali. Ila chaji zinategemea na

  1. AINA YA MTEJA.
  2. MALI ALIZO NAZO MTEJA.
  3. AINA YA SILAHA ITAKAYO TUMIKA KULINDA HAPO.
  4. Muda wa mlinzi kuwepo sehemu ya kazi, kama ni 24 hours au 12

  kama watatumia bunduki kukulinda uje chaji yake itakuwa si sawa na ya kulinda na lungu,
  na pamoja na kutumia bunduki vilevile wanaangalia kiasi cha mali ulicho nacho, kama wanakulinda nyumbani kwako na bunduki ni tofauti watakavyo chaji wakilinda benki na bunduki au wakilinda magodown makubwa.
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,304
  Trophy Points: 280
  Nenda pale Victoria kuna Mbwa wanauzwaga pale, gharama zake ni matunzo tu.
  Mambo ya kuamini walinzi usiyafagilie sana, wengine ndio haohao wachora misheni.
   
 5. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Haha poa, ingekuwa nyumbani sawa bt ni kwa ajili ya ofisi..
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Fungeni security alarms; halafu cleaner weneu anaweza kuwa gate man as well...............eficiency!
   
Loading...