Naombeni kujuzwa tofauti kati ya maneno haya yafuatayo:- 1) malaya 2) mzinzi 3)muasherati
Comi JF-Expert Member Oct 2, 2011 3,329 1,500 Nov 30, 2012 #1 Naombeni kujuzwa tofauti kati ya maneno haya yafuatayo:- 1) malaya 2) mzinzi 3)muasherati
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,820 2,000 Dec 1, 2012 #2 1- ni kwa mwanamke anajiuza mwili kwa pesa kwa ajili ya ngono 2-Mtu anayefanya ngono nje ya ndoa, hii ni kidini zaidi. 3-Mtu anaefanya ngono na watu tofauti
1- ni kwa mwanamke anajiuza mwili kwa pesa kwa ajili ya ngono 2-Mtu anayefanya ngono nje ya ndoa, hii ni kidini zaidi. 3-Mtu anaefanya ngono na watu tofauti