Msaada unahitajika

Hii mitego tu. Hana marafiki huyu?
 
jamani huyu anatafuta kuwekwa kinyumba na hela za selfie anapata wapi ukute kuna jitu limechukua picha yake likaibandika hapo na kuweka maelezo ya uongo... hizi sheria za mitandao hazifanyi kazi vizuri naona ziliwkwa fasta kutuminya sisi nyumbu tusiwazibe pumxi majamaa😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉 wa lumumba
 
Duh!! Naamini nimeshachelewa hiyo ofa!!
 
duh hiyo picha ya huyo mdada mbona kama imenikonga hisia za mieleka ya ktandan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…