YupoBaba mtoto yupo ama kafa ukijibu hili swali kwa ufasaha kuna sehemu nitakuelekeza uende
Shekhe we mbona wajitoa, tumsaidie tu huyu mdada jamaningoja waje.
Kudanga ni kutafuta maisha kwa kuwa na wanaume wengi wanao kuhudumia...Kudanga ndio kufanyaje?
Yaani kuuza kiungo cha uzazi....Kudanga ni kutafuta maisha kwa kuwa na wanaume wengi wanao kuhudumia...
HapanaYaani kuuza kiungo cha uzazi....
Hapana
Nina ID moja mkuu tangu 2008, namsaidia kujibu mleta mada kwa maswali yenye ukakasiUna Id ngapi mkuu, acha mleta thread ajibu
Lkn Cha msingi zaidi hapa Ni kusaidia maana mleta maada ashaelewek
Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu.
Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mnoo ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga sana lakini kiukweli sijaona faida yoyote ndio kwanza ni kama nazidisha majanga ,back to the point ndugu zangu naombeni mnisaidie kazi niweze kujikimu au hata mtaji tu najua mnaweza uliza kwanini nimekuja hapa ila kiukweli msaada unaweza pata popote naaamini kupitia humu naweza saidiwa pia ninawaomba ndugu zangu mnisaidie hali ni tete sana.
Kiongozi kwanini unajitoa? Msada tutani.ngoja waje.
Kaka Mkubwa, kuuza au kukodisha?Yaani kuuza kiungo cha uzazi....
Kweli ni kukodisha aseeKaka Mkubwa, kuuza au kukodisha?