BongoTechno
Member
- Jan 22, 2017
- 27
- 13
- Thread starter
- #21
Hii yapa Mkuu un.coordinator@gmail.comHebu weka email ya aliyekutumia, naona umeandika tu kutoka UN.
Hii yapa Mkuu un.coordinator@gmail.comHebu weka email ya aliyekutumia, naona umeandika tu kutoka UN.
Akachukue kadi dhl ambayo hata kwenye email hawajasema imetumwa kwenda wapi via dhl? Si kichekesho hichoMbona mi naona kama anatakiwa kwenda kuchukua mpunga uliotumwa na UN kwenye DHL kumfidia hasara aliyopata kwenye biashara yake. Akifika ofisini atapewa maelekezo
Hata siku moja un hawawez tumia email zenye domain ya gmail wanatumia email zenyw jina lao labda coordinator@uneco.orgHii yapa Mkuu un.coordinator@gmail.com
Ndo hapo ninaposhangaaHata siku moja un hawawez tumia email zenye domain ya gmail wanatumia email zenyw jina lao labda coordinator@uneco.org
Ninavyoona, email ameifanyia editing labda kuficha identity yake maana hata mawasiliano ya office ya DHL ameitoa.Akachukue kadi dhl ambayo hata kwenye email hawajasema imetumwa kwenda wapi via dhl? Si kichekesho hicho
hata kwenye email hakuna sehemu walio muaddress kwa jina lake.
pili eti inabdi a cover gharama za ulinzi wa hiyo ela dila 169 yani wakutumia over bilion tatu washindwe kulipa hiyo laki tatu na ushee.
sisi wazoefu wa haya mambo tunasema ni wizi wa mchana kweupe utaliwa hizo usd 169.
Nashangaa kwanini watu wanaibiaa kizembe hivi haya mambo nimeanza yajua toka mwaka 2005 nikiwa form tu.
scammers hawa akimbie
Nalokwambia ni wizi tena uliodhahiri.Ninavyoona, email ameifanyia editing labda kuficha identity yake maana hata mawasiliano ya office ya DHL ameitoa.
Hiyo laki 3 + DHL wamekataa kuepuka kuzidisha muda wa kumlindia mzigo wake wakati yeye anakuwa ameshalipia(hawajui atachukua baada ya muda gani)
Ila unachosema kinawezekana pia kwa sababu wizi sasa hivi umepakwa asali.
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba msaada maana nimepokea E-mail kutoka UNITED NATION, Ila nikuwa naomba msaada wenu wakuu maana E-mail hii imenichanganya hivyo nilikuwa naomba mnichanganulie zaidi juu ya E-mail hii
E-mail yenyewe hii hapa
CONTACT DHL OFFICE IMMEDIATELY FOR YOUR ATM MASTERCARD
Attention; Beneficiary,
This is to official inform you that we have been having meetings for the past three (3)
weeks which ended two days ago with MR. JIM YONG KIM
the world bank president and other seven continent
presidents on the congress we treated on solution to scam victim problems.
Note: we have decided to contact youfollowing the reports we received from anti- fraud international monitoring group your name/email has been submitted to us therefore the united nations have agreed
to compensate you with the sum of (USD $1.5 Million) this compensation is also including
international business that failed you in past
due to government problems etc.
We have arranged your payment through our ATM MasterCard and deposited it in DHL
Office to deliver
it to you which is the latest instruction from
the World Bank president MR. JIM YONG KIM,
For your
information’s, the delivery charges already
paid by U.N treasury, the only money you will
send to
DHL office Cotonou Bein Republic office is
$165 dollars for security keeping fee, U.N
coordinator
already paid for others charges fees for
delivery except the security keeping fee, the
director of
DHL refused to collect the security keeping
fee from U.N treasury, the Director of DHL office said
that they don’t know exactly time you will contact them to reconfirm your details to
avoid counting demurrage that is why they refused collecting the $165 dollars from U.N treasury
for security keeping fee.
Therefore be advice to contact DHL Office agent Coonou Benin Republic. Rev:Jin Modestus who is in position to deliver your ATM MasterCard to your location address, contact DHL Office
immediately with the bellow email & phone number as
listed below...................................
Aisee hao wanaojidai wakimbizi ndo wanasumbua sana kwenye box La email yangu mara wako dakar mara south Sudan yani full vitukoNalokwambia ni wizi tena uliodhahiri.
Mimi nshapokea emails na kuchat na mascammers wengi yani naweza kujua mtu ni scammer mara moja tu.
Nshapokea emails nyingi za wanaodai wakimbizi wako dakar senegal wazaz wao walikiwa wanafanya serikali ya gadafi wana maela mengi waliuawa wanatafta wayahamishie kwa mtu then utapewa mgao tena anajifanya binti anakutumia mapicha uoagawe.
Nishapomea email eti unatumiwa documents ujaze ukiambiwa kwamba kuna mama kafariki alikuwa na ela nyingi sana sasa hana ndugu katika kupekua nani arithi mali zake wakakuta jina na address yako kama mtu wake wa karibu..
Nshaookema emails kibao eti mtu yuko hoi anakuachia mali zake uzigawe kama charity ukiipokea leo kesho yake utashangaa unapokea email toka kwa mtu mwngime akidai ni lawyer wake na akikutaarifu kuwa huyo mtu kafariki usku ila process zitaendelea.
Na usiku huu nimetoka kuchat na scammer whatsapp ila mimi uwa naendelea nao nawachora tu mpaka mwisho nawapa matumaini as if wamenipata kumbe nawaenjoy.
Nishapokea email eti nimeshinda bahati nasibu ya nokia usd 1000000 wakati hata sina simu ya nokia mwaka 2011.
Nishapokea emails kuwa nimeshinda green card na bla bla kibao
So nakwambia kitu nachojua
Soon utaskia baba au mimi nilikuwa waziri wa yahya jammehAisee hao wanaojidai wakimbizi ndo wanasumbua sana kwenye box La email yangu mara wako dakar mara south Sudan yani full vituko
hahahahahahaSoon utaskia baba au mimi nilikuwa waziri wa yahya jammeh
mkuu avatar imetisha umenifanya nifute kioo cha pc mara 2 hahahaaHebu weka email ya aliyekutumia, naona umeandika tu kutoka UN.