Msaada unahitajika haraka sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unahitajika haraka sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Aug 19, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  Habarini wana JF

  Kuna jamaa yangu (hajaoa) katika kuruka ruka na njia amekutana na demu mmoja mzuri sana kwa sura, ana shepu nzuri ya kumfanya m/ume ageuze shingo akipishana nae ana kiuno cha dondora na zigo la nnya pamoja na hips

  Tatizo alilonieleza huyu jamaa yangu ni kuwa yule dada anatoa majimaji yenye harufu kali sana wakati wakiwa kwenye kitendo ambayo anasema uwa inakera na hata huyo dada inamkera sana anadai wamejaribu kuwa wanaoga vizuri kabla ya kitendo lakini wapi hali ni ile ile na kila mara wanapokutana inatokea na wamekwisha chinja kobe mara nyingi tu lakini hali si nzuri hata siku moja

  Jamaa anampenda sana shori wake na anategemea baadae aje kuwa mama wa watoto wake ila tatizo ni hilo

  Jamaa aliniomba ushauri wafanyeje ndio nikaona niwawekee huku,

  NB: Huyo mdada kwa sasa yuko chuo na amekwenda hospitali nyingi vipimo vinasema hana tatizo lolote
   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  FD... Nafikiri sio jukwaa lake, Mpwa.
   
 3. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  naomba mnielekeze jinsi ya kuingia jukwaa la wakubwa kuuliza si ujinga
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ina mana angekua amekamilika kila idara, asingefanikiwa kumpata, kwanza angekua ana-nyodo,,na pengine angekua anamilikiwa na jamaa lenye fedha.

  Hapo najaribu ku-great-think in 3D.
   
 5. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kama una haja ya kuipeleka kule kwa wakubwa, ila ungeliweka kwa JF Doctor i think ingekuwa poa zaidi funzadume.

  kuhusu huyo mdada me ningemshauri aende akaombewe kama ni mkristu lakini maana anasema amekwenda hospital bila mafanikio, otherwise nashauri atafute madaktari ambao ni proffetional kwa magonjwa ya kina mama tu i guess atapata msaada zaidi.
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  mbali na hayo hebu nidokezeni jinsi ya kuingia jukwaa la wakubwa
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni ushauri mzuri zaidi akienda kuwaona madaktari ambao ni proffesional kwa magonjwa ya akina mama watamsaidia sijui kama amaeishajaribu na huko
   
 8. D

  Dick JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa wanapendana, nashauri waoanae huku wakiendelea kutafuta tiba. Nasema hivi kwa sababu asiye na hili ana lile!
   
 9. R

  Ramos JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hali hii hutokana na sababu tofauti ikiwepo matumizi ya dawa fulani au maambukizi fulani. Of coz wanawake wana Characteristic smell kwanye majimaji yanayotoka huko lakini inakuwa sio mbaya. Mwambie aendee kuwaona madaktari, kwani najua huwa kuna dawa tofauti zinazoondoa tatizo hilo...
   
 10. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jukwaa la wakubwa ni la wakubwa tu. Ukishakuwa hutahitaji kuelekezwa utajua tu namna ya kuingia. Subiri kwanza ukuwe dogo, usikimbilie mambo ya wakubwa. Tumeelewana eeh
   
 11. P

  Pokola JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Teh, nakushauri mlete kwangu, kuna cream moja huwa natumia kupambana na hali kama hizo zinaponikuta. Chek wit me +255772285787. Lazima tusaidiane bana, but utalipia kamchango na nauli, coz hapa ni Kisiwa Panza, na ni lazima nimwingizie hiyo cream mimi, comprende?:becky:
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  hilo wala sio tatizo.............wenzako wakipata kitu cha ukweli kama hicho wala hawaulizi hasa kwa sifa ulizotaja hapo juuuuu.....mtoto inaonesha yuko bomba mbaya....nakwambiua wenzako wangezama hadi chumvini kama kulivyooooooo................nakushauri ni mwanmke mzuri na hilo sio tatizo la kuhangaikia, kura uroda mtoto wa kiume/mwanaume
   
 13. 2my

  2my JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asikate tamaa aendelee kuwaona doctors mbalimbali wenye proffesional na hizo mambo!
   
 14. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  :becky::becky: ingawa umenitusi ila nimejikuta nacheka lol ungejua nilivyo mzee mpaka nina mvi kwenye nywele za siri:becky::becky:
   
 15. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hapo kaka unataka tu umuone demu yukoje and if posible upate uroda wa bure,may u r soul be cleaned by the almighty,
  dawa yake ni kuosha **** mara kwa mara,na pia awe anakula vitunguu swaumu asubuhi na jioni,it seems body fluids haziko sawa,kitunguu swaumu huwa kinasaidia (nimeskia/kusoma this)pia aangalie aina ya vyakula anavyokula
   
 16. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  :noidea::noidea:
   
 17. D

  Dandaj Member

  #17
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mtaalamu Pokola lazima ujue hiyo harufu ni mbaya kiasi gani ndio utoe tiba inayofaa!! Teh teh teh
   
 18. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  ushauri mzuri kuna daktari alimshauri kuhusu vyakula na kunywa maji mengi ameshaenda kwa wataalam wa magnjwa ya wanawake pale muhimbili na wamemwambia hana tatizo na wengine walimwambia kuwa akishazaa inaweza kuisha hiyo hali
   
 19. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mpeleke kwa Dr. manyaunyau atapona mara moja
   
 20. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mzalishe uone kama itaisha au bado itaendelea?
   
Loading...