HTML ni XHTML, usijichanganye na hizi terms.
XHTML unaweza ita predecessor ya HTML5, yaani ilikua inatumika kuanzia mwaka 2000, so sites zote unazozijua wewe zina XHTML, tags za kawaida kama <div></div> e.t.c HTML5 imeongezewa features baadhi kama <canvas> <video>.
So hata ukiwa unasoma hutoona utofauti, its the same thing.