Msaada; Ulifanyaje kuvuka hii hali?

Msaada; Ulifanyaje kuvuka hii hali?

Ninaposema usimwamini simaanishi atakudhuru la! Kuna watu watamtumia yeye kukufahamu wewe, hivyo kukudhuru. Pia why umuamini mama? Au kwakuwa kakuzaa? Inatosha kumuamini kwa hilo? Siku utakapokutwa na mambo ndio utaniamini.
Hapo unaposema husimwamini hata aliyekuzaa unakosea mkuu, hakuna mfariji duniani kama Mama...... Hata siki moja hawezi kukubadirikia labda awe mama alikununua hospital kakulea tu kama mwanae.

Wababa ndo rahisi kuchange.

doggystyle changeinarudi shehe[emoji527]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna njia mbili za kujisaidia katika hali kama hiyo kama watu ambao wamekuzunguka huwaamini pengine itakuwa vizuri kama utampata kiongozi wako wa dini uongee nae au mtafute mwanasaikolojia uongee nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole maana Hali kama yako ilishawahi kunikuta na nashukuru walau naendelea kupona maana ilinisumbua kwa takribani miaka 3 bila unafuu wowote na waliokua wanalijua walikua hawako serious nalo hata kidogo.

Nikajaribu kusikiliza music kwa muda mrefu nikiamini naondosha balaa kumbe ndio nazidi kujaza maumivu ambayo walioimba wameyatema.......iianibidi nianze na Mimi kutema sumu kwa kuimba ninapojiliwa na hali ile na nikawa najaribu kulisema kwa mtu atakae kua karibu na Mimi na moyo wangu ukamwamini ata asipolichukulia uzito navunga bora tu kwamba nimelisema.

Huwezi amini ile hali imepungua mno na nahisi ilikua kama ugonjwa katika moyo so naweza sema nimepona kabsaaa,kikibwa tema sumu kwa kuliongea ili upone kusikiliza nyimbo na stories za watu wenye Jambo kama lako kunakufanya uzidi kuumia tu cz wanakuonyesha upande wa lalamiko lao tu sio upande wa furaha baada ya kuovercome.

Jifunze kwa walioshinda utapata mbinu mpya ya kushinda na sio kwa walioshindwa utaona kumbe ni kawaida tu![emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hali hyo kama ni muajiriwa utendaji wako unapungua afya ina tetereka , hutamani lolote kuna kipindi unaweza kujuta kuzaliwa but trust me yataisha mpaka watu watashangaa. Fanya ibada toka sehemu tofauti tofauti, halafu toa Sana sadaka kwa wasiojiweza Kama walemavu nk. Mm huwanikipatwa na Hali Hiyo nikipata smiles za wasiojiweza na farijika then Nakua Moya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brethren, retreating was part of my plan. You ruined it with that quote that made me come out to the spotlight. I like hunting in the shadows hehee.
Unazingua, umezingua mkuu. Nilikuwa nafatilia mjadala wenu na princess ariana, naona umechomoa betri mapema.

Go for it brethren! The gates are wide open for you[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom