Msaada; Ulifanyaje kuvuka hii hali?

Msaada; Ulifanyaje kuvuka hii hali?

Athalia,
duh pole dada yangu ila ndo maisha tafuta namna yako mwenyewe ya kuweza kusawaza mawazo yako mfano mimi hata mikiwa na sterss kiasi gani huwa natafuta sehemu na kaa natulia bila kuwa na mtu yeyeote naweka music(hip hop) nzito nasikiliza sometimes nacheza game langu kwa muda kama wa saa au mawili ten nakuwa kama niko rehabilitated ..just find your own way of rescue
 
Binadamu ni watu hatari sana, usipomuamini yeyote utaepuka hali kama hiyo. Hakikisha unaepuka kuamini watu, kwasasa jaribu kumtafuta mzee mbali na unapoishi, ikibidi Mkoa mwingine na umwambie kila kitu, pia fanya ibada ya kutosha, uongea na Mungu wako hasa usiku. Pambana sana na Maisha kwani ndio njia pekee ya kuthaminiwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kuwa mbinafsi wa mambo yako hata kama huwezi, usimwamini mtu hata kama kakuzaa. Dunia imejaa siri kubwa sana kama ulikuwa hujui. Mimi nimepitia mengi sana ingawa nipo under 40's years of age. Simuamini mwanadamu kwa 100%.
Muda utafika yataisha hayo mambo ila jifunze kuwa binadamu hawatabiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jumapili wapendwa.
Naombeni msaada hapa ;

Kuna ile hali mtu unajikuta una kitu kinakuumiza moyo unatamani upate hata mtu mmoja umwambie akuelewe angalau u feel ok, but ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma huoni sio ndugu sio rafiki.

Unamwambia hata mpenzi wako unahisi utapata faraja naye unakuta hajal, unaamua kukaa nayo tu moyoni, kujifariji kuwa utakuwa sawa, nje unajifanya upo sawa ila ndani unaugua haswaa.

Ulifanyaje ulipokuwa na hii hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tell your mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jumapili wapendwa.
Naombeni msaada hapa ;

Kuna ile hali mtu unajikuta una kitu kinakuumiza moyo unatamani upate hata mtu mmoja umwambie akuelewe angalau u feel ok, but ukiangalia kushoto kulia mbele nyuma huoni sio ndugu sio rafiki.

Unamwambia hata mpenzi wako unahisi utapata faraja naye unakuta hajal, unaamua kukaa nayo tu moyoni, kujifariji kuwa utakuwa sawa, nje unajifanya upo sawa ila ndani unaugua haswaa.

Ulifanyaje ulipokuwa na hii hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kwenda kukanyaga mafuta kwa Mwamposa tu
 
Asante kwa huu ushauri.
Binadamu ni watu hatari sana, usipomuamini yeyote utaepuka hali kama hiyo. Hakikisha unaepuka kuamini watu, kwasasa jaribu kumtafuta mzee mbali na unapoishi, ikibiti Mkoa mwingine na umwambie kila kitu, pia fanya ibada ya kutosha, uongea na Mungu wako hasa usiku. Pambana sana na Maisha kwani ndio njia pekee ya kuthaminiwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kuwa mbinafsi wa mambo yako hata kama huwezi, usimwamini mtu hata kama kakuzaa. Dunia imejaa siri kubwa sana kama ulikuwa hujui. Mimi nimepitia mengi sana ingawa nipo under 40's years of age. Simuamini mwanadamu kwa 100%.
Muda utafika yataisha hayo mambo ila jifunze kuwa binadamu hawatabiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napokutana na situation za sintofaham kama hiz basi mm huwa solution yangu cheapest ni kutafuta faragha with "my creator".
Hajawah kuni disappoint katika hilo.I always get a relief n a way fowrd..God is everything in everything
 
kidambinya, Hapo unaposema husimwamini hata aliyekuzaa unakosea mkuu, hakuna mfariji duniani kama Mama...... Hata siki moja hawezi kukubadirikia labda awe mama alikununua hospital kakulea tu kama mwanae.

Wababa ndo rahisi kuchange.

doggystyle changeinarudi shehe[emoji527]
 
Back
Top Bottom