Jamani Kwa hyo hakuna m2 amewai kutibu magonjwa kama yng kwa ku2mia dawa za masai?
Mkuu pole sana.
Ni kweli kuwa dawa za kienyeji (Wamasai) zinasaidia. In fact dawa kama
Viagra au
Cialis (sijui kama umezijaribu hizi dawa) zilipatikana kwa watafiti wa hizi kampuni za dawa (Pharmaceutical companies) kujifunza kutokana na tiba mbadala. Najua kuna majani (babu yangu aliekuwa mganga wa kienyeji alinionyesha) kuwa mbuzi (dume) wakiyala wanafukuzilia sana mbuzi (ke) na kwamba yanasaidia pia kwa sisi binadamu. Ubaya ni kwamba sijui jina lake lakini nikiyaona nitayatambua (binafsi sikuyajaribu). Pia kuna watu wanaosema kuwa kutafuna
khat au
miraa (a mild leafy nacortic) inakufanya
u-relax na hii inasaidia usiwe na
performance anxiety au mtera na mambo huwa yanajipa - sina ushuhuda mimi binafsi.
Tahadhari:
Mara nyingi waganga wa kienyeji wanafanya biashara na pengine hawajui wanachofanya. Hivyo basi ukipata hizi dawa za Wamasai na zisiposaidia, usikate tamaa - jaribu pengine. Wasikudanganye kuwa upeleke mbuzi, kuku, na gharama nyingi - hao watakuwa wanataka kukuchuma tu.
Hitimisho:
Kwa kuwa ubongo ndio the main sexual organ mwilini mwako basi tiba kubwa ya
sexual dysfunction ni ile itakayo tibu ubongo wako kama ifuatavyo:
Lishe ya ubongo:
- Chakula bora (balanced diet - lots of vegetables)
- Multivitamins (hasa fortified B-complex a.k.a. brain food)
Utulivu wa akili:
- Mazoezi
- Pata usingizi wa kutosha (mazoezi yatasaidia hapa)
- Dawa km. Cialis, Viagara, Miraa, Wamasai, nk
Nyongeza:
Wakati unatafuta na kukamilisha matibabu ya hali yako naomba uzingatie kitu hiki. Sio lazima umridhishe mwenzio kwa kumtumia bwana kaka wako tu. Unaweza kufanya maajabu kwake kwa kutumia viungo vyako vingine kama mikono/vidole au oral. Kama hujui nini cha kufanya kumridhisha mwenzio bila ya kumtumia kaka naomba wende kwenye internet ufanye huu utafiti. Nikikueleza kwa undani hapa basi hii makala itakiuka maadili ya jamvi hili.
Disclaimer:
Mimi sio medical doctor. Kwa hiyo kama kuna madaktari (formal na mitishamba) watakaona ninakupotosha mahali popote pale naomba mnisahihishe ili tumpe kaka ushauri mzuri.
Nawakilisha.
CC.
MziziMkavu