MSAADA Ukweli wa huduma ya masai

Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
322
Likes
11
Points
35
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
322 11 35
Jamani nisaidieni ninatatzo la nguvu za kiume,.kuwai kumaliza,.kuwa na misuli lege lege ya uume,.nimewai kuomba ushauri hapa nikapewa mbinu za kurudisha nguvu hzo kwa njia ya asili nimejarbu bila mafanikio imeshndkana....kwa sasa nimepewa ushauri kwenda kwa wa masai sasa naombeni ushauri je? dawa zao ni za ukweli?? Na kuna mtu zimewai kumsaidia humu
NISAIDIENI NDUGU ZANGU NTAPOTEZA NDOA YANGU
 
Ponjoro

Ponjoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
443
Likes
327
Points
80
Ponjoro

Ponjoro

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
443 327 80
ndugu yangu Pumzi...madawa ya asili utaambiwa mengi na wamejaa sana matapeli,hata wamasai nao wapo matapeli wengi!!!
dawa kubwa na isiyo na madhara ni mazoezi ya viungo mfano kukimbia, pushap, skwash(mazoezi ya mapaja), mazoezi ya tumbo na mazoezi yanayohusisha kurukaruka!!!! fanya zoezi vile inavyopaswa... TATIZO HAPO LITAKUWA LIMEKWISHA!!
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
838
Likes
6
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
838 6 35
kama alivyosema hapo juu,na uangalie unakula vyakula gani
 
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
322
Likes
11
Points
35
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
322 11 35
Mbona nimewai kujaribu bila mafanikio lakini wapi..lakini kuna wa masai ambao dawa zao ni za ukweli??
ndugu yangu Pumzi...madawa ya asili utaambiwa mengi na wamejaa sana matapeli,hata wamasai nao wapo matapeli wengi!!!
dawa kubwa na isiyo na madhara ni mazoezi ya viungo mfano kukimbia, pushap, skwash(mazoezi ya mapaja), mazoezi ya tumbo na mazoezi yanayohusisha kurukaruka!!!! fanya zoezi vile inavyopaswa... TATIZO HAPO LITAKUWA LIMEKWISHA!!
 
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
322
Likes
11
Points
35
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
322 11 35
Jamani kuweni na roho ya huruma mwenzenu wife hanielew
 
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
322
Likes
11
Points
35
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
322 11 35
Jamani hata mkitaka pesa niko tayari cha msingi nijue kama kweli dawa za wa masai ni nzuri
 
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
3,035
Likes
964
Points
280
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
3,035 964 280
Jamani hata mkitaka pesa niko tayari cha msingi nijue kama kweli dawa za wa masai ni nzuri
Waone forever living products bidhaa zao hazina madhara.
 
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
3,377
Likes
1,107
Points
280
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
3,377 1,107 280
Sasa pastor ni wakina nani hao na wanapatikanaje hao?? Coz umenielezea kwa ufupi sana
Umri wako?
Na jee umeshawahi kuwa muumini wa punyeto?
Una matatizo yoyote katka ndoa yako?
 
Ponjoro

Ponjoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
443
Likes
327
Points
80
Ponjoro

Ponjoro

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
443 327 80
achana na wamasai...mazoezi ulifanya ila haikusaidia kwa sababu akili yako haikukubali kama mazoezi yanaweza kuwa suluhisho,suala la msingi ni kutuliza akili kaka!!! ukienda kwa wamasai unaweza kuwa fit kwasababu tu akili yako inaamini kuwa dawa za kimasai ndiyo suluhisho...kwa mantiki hiyo naona ni bora uende kwa wamasai, maana uwongo wa mganga ndiyo nafuu ya mgonjwa!!! michezo yote ya kimapenzi hufanyika akilini...akili ikitulia basi game itakuwa poa (usisahau na mazoezi ni muhimu sana).
 
Jenerali QoyoJB

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
307
Likes
8
Points
0
Jenerali QoyoJB

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
307 8 0
pole sana ndugu, najua athari ya jambo unaloeleza kwa maisha yako ya ndoa. tafadhali kama upo dar es Salaam fika kwa LONGLIFE HABIT SANITARIAN utapata ushauri wa kisaikolojia na endapo utaonekana na shida utapata dawa au maelekezo ya namna ya ulaji na mfumo mzima wa maisha. Piga simu 0715636688 au 07553366. Ofisi ipo Yombo Buza. Siyo ofisi yangu na wala sipigi debe ni Ofisi ya mtaalamu wa masuala ya uzazi ambako hakika wanasaidia. Kama kweli una tatizo hilo tu basi amini limekwisha. Piga simu hiyo ujitabulishe hata kama upo mbali utapata ushauri kwa simu na utasaidiwa. najua wengi wana matatizo kama haya lakini wanakufa na tai shingoni.
 
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
322
Likes
11
Points
35
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
322 11 35
Asante ndugu yangu nitajaribu

Kweli mazoezi nilfanya kaka na akili yng niliweka kwenye mazoezi lakn ckupata solution ndio nikashauriwa kwa wa masai
achana na wamasai...mazoezi ulifanya ila haikusaidia kwa sababu akili yako haikukubali kama mazoezi yanaweza kuwa suluhisho,suala la msingi ni kutuliza akili kaka!!! ukienda kwa wamasai unaweza kuwa fit kwasababu tu akili yako inaamini kuwa dawa za kimasai ndiyo suluhisho...kwa mantiki hiyo naona ni bora uende kwa wamasai, maana uwongo wa mganga ndiyo nafuu ya mgonjwa!!! michezo yote ya kimapenzi hufanyika akilini...akili ikitulia basi game itakuwa poa (usisahau na mazoezi ni muhimu sana).
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
63
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 63 145
Mbona nimewai kujaribu bila mafanikio lakini wapi..lakini kuna wa masai ambao dawa zao ni za ukweli??

Wapo wamasai wenye dawa za ukweli na wapo matapeli pia,tatizo ni kumjua uliyempata yuko kundi gani?
Mimi walinitibia pumu kwa dawa zao na nimepona kabisa.
 
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
322
Likes
11
Points
35
Pumzi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
322 11 35
Ngoja nijaribu mkuu
[/B]

Jamani Kwa hyo hakuna m2 amewai kutibu magonjwa kama yng kwa ku2mia dawa za masai?
 
K

Kifyatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
3,389
Likes
2,434
Points
280
K

Kifyatu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
3,389 2,434 280
Jamani Kwa hyo hakuna m2 amewai kutibu magonjwa kama yng kwa ku2mia dawa za masai?
Mkuu pole sana.

Ni kweli kuwa dawa za kienyeji (Wamasai) zinasaidia. In fact dawa kama Viagra au Cialis (sijui kama umezijaribu hizi dawa) zilipatikana kwa watafiti wa hizi kampuni za dawa (Pharmaceutical companies) kujifunza kutokana na tiba mbadala. Najua kuna majani (babu yangu aliekuwa mganga wa kienyeji alinionyesha) kuwa mbuzi (dume) wakiyala wanafukuzilia sana mbuzi (ke) na kwamba yanasaidia pia kwa sisi binadamu. Ubaya ni kwamba sijui jina lake lakini nikiyaona nitayatambua (binafsi sikuyajaribu). Pia kuna watu wanaosema kuwa kutafuna khat au miraa (a mild leafy nacortic) inakufanya u-relax na hii inasaidia usiwe na performance anxiety au mtera na mambo huwa yanajipa - sina ushuhuda mimi binafsi.

Tahadhari:
Mara nyingi waganga wa kienyeji wanafanya biashara na pengine hawajui wanachofanya. Hivyo basi ukipata hizi dawa za Wamasai na zisiposaidia, usikate tamaa - jaribu pengine. Wasikudanganye kuwa upeleke mbuzi, kuku, na gharama nyingi - hao watakuwa wanataka kukuchuma tu.

Hitimisho:
Kwa kuwa ubongo ndio the main sexual organ mwilini mwako basi tiba kubwa ya sexual dysfunction ni ile itakayo tibu ubongo wako kama ifuatavyo:

Lishe ya ubongo:
  • Chakula bora (balanced diet - lots of vegetables)
  • Multivitamins (hasa fortified B-complex a.k.a. brain food)

Utulivu wa akili:
  • Mazoezi
  • Pata usingizi wa kutosha (mazoezi yatasaidia hapa)
  • Dawa km. Cialis, Viagara, Miraa, Wamasai, nk

Nyongeza:
Wakati unatafuta na kukamilisha matibabu ya hali yako naomba uzingatie kitu hiki. Sio lazima umridhishe mwenzio kwa kumtumia bwana kaka wako tu. Unaweza kufanya maajabu kwake kwa kutumia viungo vyako vingine kama mikono/vidole au oral. Kama hujui nini cha kufanya kumridhisha mwenzio bila ya kumtumia kaka naomba wende kwenye internet ufanye huu utafiti. Nikikueleza kwa undani hapa basi hii makala itakiuka maadili ya jamvi hili.

Disclaimer:
Mimi sio medical doctor. Kwa hiyo kama kuna madaktari (formal na mitishamba) watakaona ninakupotosha mahali popote pale naomba mnisahihishe ili tumpe kaka ushauri mzuri.

Nawakilisha.

CC. MziziMkavu
 
Forum statistics

Threads 1,261,890
Members 485,352
Posts 30,107,535