chwechinyong
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 223
- 105
Habari wadau wa safu hii ya Science,
Naombeni msaada wenu wa kulitatua hili tatizo maana nimeshajaribu kila njia but no muafaka...nime-google but sijapata jibu lilonisaidia. Tatizo lenyewe ni kwamba, nimeformat laptop disk externally kwenye komputa nyingine baada ya kupata ujumbe huu "Remove disks or other media..Press any key to restart" kutoka kwenye original computer. Baada ya kuformat na kuirudisha ile hard disk katika original computer yake ujumbe huo bado unaendelea kuwepo. Nimejaribu another hard disk but the same message still comes up. Nimecheki setting za bios naona ziko poa kwenye booting. Kwa yeyote aliyekutana na tatizo kama hili au mwenye idea jinsi ya kulisolve tatizo hili, please your help is of paramount important to me. Msaada wenu wadau. Natanguliza shukrani zangu za dhati.