wakae pamoja na wazazi waongee kabla yakuchukua uamuzi wakuachana
Haya mapenzi yana nn siku hizi aisee?mbona yanagoma hivi?ipo haja ya wizara ya elimu kutengeneza mitaala katika eneo hili,why matatizo kila siku?
yani jamaa ameshabugi tayari huyo demu alimwona mzigo mapema ila akaamua kuliingiza ndani sasa aendelee kulisukuma tu litafika.................. amabo hamja oa ukiona kwenye uchumba amuelewani basi usijelazimisha kwa kujipa moyo atabadilika ndani ya nyumba.......... jamaa huyo tayari he create his on shetani wake aendeleee kulifuga tu............... au labda anaujauzito inamchanganya bidada..

mkuu mke wa huyu jamaa hana mimba na wana mtoto mmoja nae ana miezi mi 5 tu.
Mimi pia nimedhani ni mimba changa!!!
Afanye kama ya munisi na mushi................period
Yani kuambiwa ananuka jasho ndo ameamua kusimulia ofisini! Jamaa aache utoto bana.
haa haaa labda ana mimba changa akampime. hizo harufu siku zote hajaziona?