Kama upo wiling kuspend hadi 1m basi tafuta galaxy tab s ambayo ni around dola 500 marekan na ulaya. Nafkiri ma agent wa samsung dar watakua nayo hii tablet ina sifa hizi.
1.ni nyembamba sana around milimita 6 halafu si nzito kama robo kilo hivyo haitakusumbua kwa ukubwa wake na itakua rahisi kuibeba utakapo
2.ndio tablet yenye kioo bora kwa sasa duniani sababu samsung wamefanikiwa kueka vioo vya amoled kwenye tablets. Pia ina kioo cha 2k na ppi around 350. Even kindle fire na ipad wanasubiria in terms of display
3. Battery ya 7900 mah ambayo itatosha matumizi ya kawaida siku mbili
4.samsung touchwiz imekua optimized kwenye tablets hivyo utapata uwezo wa kugawanya kioo mara 2 na kufanya kazi mbili kwa mpigo,
5.perfomance ni kubwa sababu ndio flagship yao ya tablet