supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,012
- 1,955
Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amekaa nyumbani zaidi ya mwaka baada ya matokeo ya form four kuwa mabaya kwake, sasa naona nimpeleke hata Veta ili baadae nguvu zikija niisha niwe nimemuacha na kitu!
naomba mtu mwenye uelewa na courses zilizo VETA anisaidie kunishauri nimpeleke ipi nzuri kwa mtoto wa kike?
naomba mtu mwenye uelewa na courses zilizo VETA anisaidie kunishauri nimpeleke ipi nzuri kwa mtoto wa kike?