Msaada Uchaguzi wa chuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Uchaguzi wa chuo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by web engineer, Apr 29, 2012.

 1. w

  web engineer Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimemaliza A level 2012 February, naomba mtu anayejua chuo cha Malaysia, India ama Singapore ambacho sio chuo bubu cha Medicine, a recomend hapo kwenye comments address ya chuo.
   
 2. s

  sanjo JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Just google for Malaysian Universities and do your due diligence.
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu, uwezo wa kufanya hivyo definitely anao, ila experience ndo kitu anachohitaji.
  Wawili watatu waliosoma huko watamjibu, ndo nia hasa.
  Kumwambia hivyo ni kumkatisha tamaa kwa namna moja ama nyingine, na pia kuondoa dhana ya JF. Let us share what we have, with due respect.
   
Loading...