MSAADA UANDISHI WA GRANT PROPOSAL.

MSAADA UANDISHI WA GRANT PROPOSAL.

kuwota

Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
79
Reaction score
28
Wadau Habari za muda huu, mimi ni graduates wa chuo na ni Mwl wa Sekondari katika wilaya moja hapa Tanzania.
Nimekuwa interested kutatua matatizo ya jamii inayonizunguka kuliko kuendelea kuisubiri serikali pekee lkn pia kutumia ujuzi kiasi nilionao katika uandishi wa grant proposal kutafuta wafadhili.
nimelenga faida mbili moja ni kusaidia kutatua matatizo yanayotuzunguka lkn pia kujiongezea kipato pia.
Bado sijawahi kuandika hizi proposal hivyo naomba ushauri kwa yeyote ambaye aliwahi kufanikisha hili lkn pia naombeni ushauri ni matatizo yapi yana mashiko zaidi kushughulika nayo
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom