Unakuta kuna experience mpaka ya ukondakta wakati kazi ni yaofisini.
ki ukweli mi kuna kazi nilishindwa kuomba kwa sababu hii
Asikuambie mtu,wakisema one page ni issue, mimi kusoma na refaree tayarari page mojaUkondakta Unaweza Itumia Kuelezea People Engagement Skills Lakini Itategemea Utakavyojileza Na Itaonyesha Diversity Ya Experience Yako. Inaeleza Story Kuwa You Are A Hard Work, Result Driven Kama Ulifanikiwa Kupata Elimu Ya Juu Baada Ya Hapo.
CV Ni Story Teller Ya Education, Skills Zako Na Experince.
Asikuambie mtu,wakisema one page ni issue, mimi kusoma na refaree tayarari page moja
Ufafanuzi kidogo hapo kwenye STAR style mkuuKwa Kusoma Haraka Haraka Tu Wanataka Mtu Atakaye
1-Deliver Results: Time Mgnt, Leadership
2- Working With Other: People Skills, Team working
3- L&D: Creativity, Flexibility, Results Driven
Ukitumia STAR Style Kueleza Experience Yako Mtaani Shuleni Kwenye Mambo Hayo Hapo Juu Vizuri Kwa Kingereza Kizuri Utaitwa Kwenye Interview.
Yote Kesho Za Hizi Kichwa Kimechangamka Kidogo
Hujui kusoma saa aisee [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbona Mwisho ilikua Juzi 12.2.2017 Mchana.
Ufafanuzi kidogo hapo kwenye STAR style mkuu
Hujajua Chuo penyewe nin Elimu gani unanichalenge, anyway, kwa elimu yangu ya kuunga unga nikiandika page moj sieleweki, ndo maana kazi za hivyo mimi siombi kabisaMkuu Ukiandika Page 2 Umeshaharibu Tayari Ina Maana Ufati Maelezo.
Wanataka Latest Academic Resuts, Kama Umemaliza Chuo Kikuu Sasa A-Level Au College Results Za Nini.
Kwenye Reference Unaandika "Up On Request" Inatosha Sababu Hujapewa Kazi Bado
Mkuu Hii Uliyoweka Ni Ya Mtu Mwenye Experience (Chronological CV)
Ila Ndugu Yetu Huyu Ni Fresh From School Kazi Kama Tangazo La Ajira Linavyosisitiza.
Hivyo Anahitaji Skills-Based CV
Nina matatizo gani? okay I don't give a Fu.ck sikuangalia vizuri.Hivi Wewe Ndugu Huwa Unamatatizo Gani??
Tangazo Linasema 13th Mid Day Wewe Hiyo 12th Umetoa Wapi???
Wametoa email ikiwa utaombwa pesa wapi pa kupeleka malalamiko.Hawa naona kama matapeli nimesoma vizuri wanasema eti lazima ufanye security clearance na kuna tangazo la kaz moja nakumbuka waliandika hivo hivo bbadae unaaambiwa kufanya security clearance utume dola 50 sjui
Tatizo Ni Ujinga Umekukithiri na Siyo kila anayetaka Security Clearance ni tapeli wewe una pesa gani za kuipa Serikali ya Uingereza?Hawa naona kama matapeli nimesoma vizuri wanasema eti lazima ufanye security clearance na kuna tangazo la kaz moja nakumbuka waliandika hivo hivo bbadae unaaambiwa kufanya security clearance utume dola 50 sjui
Sawa sawa mimi mjinga wewe mwerevu.Tatizo Ni Ujinga Umekukithiri na Siyo kila anayetaka Security Clearance ni tapeli wewe una pesa gani za kuipa Serikali ya Uingereza?
Inaonekana hata neno Security clearance hulijui lina maana gani? Lazima Uchunguzwe kuna Vitendo kama Urais, Ugaidi na Maovu mengine.
Kifupi hizi nafasi ni kweli na Pia uwe na Kawaida ya Kutembelea kwenye Tovuti hao.
Working for British High Commission Dar es Salaam - GOV.UK
Kama mama yako na baba yako walikuzaa na wakakufundisha utukane watu usiowajua basi hongera sanaTatizo Ni Ujinga Umekukithiri na Siyo kila anayetaka Security Clearance ni tapeli wewe una pesa gani za kuipa Serikali ya Uingereza?
Inaonekana hata neno Security clearance hulijui lina maana gani? Lazima Uchunguzwe kuna Vitendo kama Urais, Ugaidi na Maovu mengine.
Kifupi hizi nafasi ni kweli na Pia uwe na Kawaida ya Kutembelea kwenye Tovuti hao.
Working for British High Commission Dar es Salaam - GOV.UK
Ujinga si tusi ndo maana hata mama yako na Baba yako wameridhika nao.Kama mama yako na baba yako walikuzaa na wakakufundisha utukane watu usiowajua basi hongera sana
Busara ikukae kichwani, uweze hata kutofautisha ujinga na upumbavu. Si vema kumkarahisha mtu bila sababu, nadhani umekosea na ni vizuri ulitambue hilo na kubadilika.Ujinga si tusi ndo maana hata mama yako na Baba yako wameridhika nao.
Nadhani hapo juu alisema ana some bits of experience, its just a model mkuu kuona jinsi anavyoweza follow and model his based on that.
Nina matatizo gani? okay I don't give a Fu.ck sikuangalia vizuri.