Msaada uandishi wa CV ya page moja

Msaada uandishi wa CV ya page moja

Unaongelea CV au resume?CV huwezi kuiandika kwenye Page moja labda kama wewe ndio umetoka chuo.Resume unaweza kuiandika kwenye page moja ingawa huwa wanashauri iwe.pages 2 max.CV na resume ni vitu 2 tofauti.Kingine hizi zinatofautiana kulingana na kazi unayoitafuta.Ni pm nikupe maelezo nina uzoevu wa kuapply na kupata kazi hadi za nje ya nchi.
Mkuu toa kisomo kidogo kuhusu haya masuala ya job application
 
Unaongelea CV au resume?CV huwezi kuiandika kwenye Page moja labda kama wewe ndio umetoka chuo.Resume unaweza kuiandika kwenye page moja ingawa huwa wanashauri iwe.pages 2 max.CV na resume ni vitu 2 tofauti.Kingine hizi zinatofautiana kulingana na kazi unayoitafuta.Ni pm nikupe maelezo nina uzoevu wa kuapply na kupata kazi hadi za nje ya nchi.

Tayari nimekuja pm mkuu
 
Umeshanikiwa kuandika CV ya page 1?
Na je umefanikiwa kutuma maana vyeti + CV+ barua visizidi 6mb,
Kama bado ni pm

Ndo nipo kupambana hapa kwenye cv ndo naona pagumu hawa jamaa wa DFID ni shida na masharti yao
 
one page cv jaribu kuweka vitu iv
juu kabisa
majina yako kamili
>phone no# na email address pia location

weka
>Education background

>work experience

>extra activities/Additional infos

>skills

malizia kwa kuweka

>Referees

i guess utakua ume apply internship @.dfid waki kujibu for interview uje kutupa mrejesho apa apa kwenye huu uzi wako

Asanteh mkuu
Ni kweli ni DFID nataka niende nao sawa umejuaje kama ni wenyewe
 
Nimekumbuka kuna sehemu nilipewaga kijiassignmnet cha kuandika C.V ya page moja ,yenye uzoefu wa kazi kumi ulizofanya na education level iwe PhD. ngoja nikutumie uione mfano na format ilivyokua

Bado nasubiria utume mkuu
 
one page cv jaribu kuweka vitu iv
juu kabisa
majina yako kamili
>phone no# na email address pia location

weka
>Education background

>work experience

>extra activities/Additional infos

>skills

malizia kwa kuweka

>Referees

i guess utakua ume apply internship @.dfid waki kujibu for interview uje kutupa mrejesho apa apa kwenye huu uzi wako
Mkuu ntumie na mie hyo cv pm
 
Nimekumbuka kuna sehemu nilipewaga kijiassignmnet cha kuandika C.V ya page moja ,yenye uzoefu wa kazi kumi ulizofanya na education level iwe PhD. ngoja nikutumie uione mfano na format ilivyokua
ooiii mkuu ntumie na mie hyo cv pm tafadhali
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.

Kina Vitu Unatakiwa Ueleze Kwanza. Wewe Ni Mwanafunzi (Fresh From School) Au Umeshafanya Kazi Sehemu, Una-apply Kazi Iliyotangazwa Au Mtu Tu Kakutonya Kuhusu Kazi Sehemu.

Kwanini Nauliza Hayo Sababu Kuomba Kazi Ni Kujiuza Sawa. Hivyo Lazima Ujiuze Kutokana Na Mahitaji Ya Kazi. Wanataka Nini Kwenye Msisitizo Wa Tangazo Lao La Kazi; Experience Au Taaluma.

Mwisho Kazi Unayoomba Ni Nchini Au Nje Ya Nchi.

Vyote Nilivyosema hapo Vinauzito Sana Ili CV Yako Iwe Juu Kati Ya CV Za Watu Wengine Hasa Kwenye Style Ya Kuandika Na Mvuto.

Kumbuka CV Haikupi Kazi Ila Inakuwezesha Kuitwa Kwenye Interview. Hivyo Ukiandika Vizuri CV Yenye Mvuto Kuzingatia Mahitaji Na Msisitizo Wao Wa Mahitaji Utaitwa Kwenye Interview.

Write a CV That Will Tick Their Job Need's Boxes.

Kina Vitu Unatakiwa Ueleze Kwanza. Wewe Ni Mwanafunzi (Fresh From School) Au Umeshafanya Kazi Sehemu, Una-apply Kazi Iliyotangazwa Au Mtu Tu Kakutonya Kuhusu Kazi Sehemu.

Kwanini Nauliza Hayo Sababu Kuomba Kazi Ni Kujiuza Sawa. Hivyo Lazima Ujiuze Kutokana Na Mahitaji Ya Kazi. Wanataka Nini Kwenye Msisitizo Wa Tangazo Lao La Kazi; Experience Au Taaluma.

Mwisho Kazi Unayoomba Ni Nchini Au Nje Ya Nchi.

Vyote Nilivyosema hapo Vinauzito Sana Ili CV Yako Iwe Juu Kazi Ya CV Za Watu Wengine.​

Nimeweka attachment kwa post angaria original post
 
Kama Ni UK Gov, CV Za System Zao Uweki Tarehe Yako Ya Kuzaliwa Kwanza Na Nafikiri Na Jina Pia Ila Hiyo Ni Sheria Mpya Sijajua Kama Imeshapitishwa

Sasa Hivi Natumia Simu Ila Kesho Asubuhi Nikiwa Kazini Nitaweza Kukupa Full Structure Ya CV Nzima Kutokana Na Mahitaji Yao.

Unaweza Kuni PM Experince Au Taaluma Yako Vingine Utaweka Mwenyewe Nikishakutumia Full Structure Au Skeleton Requirement​
 
Asanteh nitafanya hivyo nakuja pm mkuu
 
Nimeweka attachment kwa post angaria original post

Kwa Kusoma Haraka Haraka Tu Wanataka Mtu Atakaye
1-Deliver Results: Time Mgnt, Leadership
2- Working With Other: People Skills, Team working
3- L&D: Creativity, Flexibility, Results Driven

Ukitumia STAR Style Kueleza Experience Yako Mtaani Shuleni Kwenye Mambo Hayo Hapo Juu Vizuri Kwa Kingereza Kizuri Utaitwa Kwenye Interview.

Yote Kesho Za Hizi Kichwa Kimechangamka Kidogo
 
Asanteh hapa nimepata mwanga
 
Mkuu, angalia hii sample, one page only, unaweza model yako based on that

Mkuu Hii Uliyoweka Ni Ya Mtu Mwenye Experience (Chronological CV)

Ila Ndugu Yetu Huyu Ni Fresh From School Kazi Kama Tangazo La Ajira Linavyosisitiza.

Hivyo Anahitaji Skills-Based CV​
 
Summarise experience nyeti zinazolingana na hiyo kaxi
Unakuta kuna experience mpaka ya ukondakta wakati kazi ni yaofisini.

ki ukweli mi kuna kazi nilishindwa kuomba kwa sababu hii
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
ccfe0929b7084ef3c700bbd48d9d546b.jpg
acefd600fa8f9680c653916160373d93.jpg
Hyo ynyw ishakua edited na ikawa minimized so ww hapo huwez punguza zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom