Msaada uandishi wa CV ya page moja

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
ccfe0929b7084ef3c700bbd48d9d546b.jpg
acefd600fa8f9680c653916160373d93.jpg
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.

CV page 1 tu unaomba Kazi ya Mortuary attendant Mkuu?
 
Unaongelea CV au resume?CV huwezi kuiandika kwenye Page moja labda kama wewe ndio umetoka chuo.Resume unaweza kuiandika kwenye page moja ingawa huwa wanashauri iwe.pages 2 max.CV na resume ni vitu 2 tofauti.Kingine hizi zinatofautiana kulingana na kazi unayoitafuta.Ni pm nikupe maelezo nina uzoevu wa kuapply na kupata kazi hadi za nje ya nchi.
 
Nimekumbuka kuna sehemu nilipewaga kijiassignmnet cha kuandika C.V ya page moja ,yenye uzoefu wa kazi kumi ulizofanya na education level iwe PhD. ngoja nikutumie uione mfano na format ilivyokua
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
one page cv jaribu kuweka vitu iv
juu kabisa
majina yako kamili
>phone no# na email address pia location

weka
>Education background

>work experience

>extra activities/Additional infos

>skills

malizia kwa kuweka

>Referees

i guess utakua ume apply internship @.dfid waki kujibu for interview uje kutupa mrejesho apa apa kwenye huu uzi wako
 
Uko sawa mkuu hvy ndy inavyotakiwa kuwa na exactly inatosha page 1
Big up
 
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.

Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
Umeshanikiwa kuandika CV ya page 1?
Na je umefanikiwa kutuma maana vyeti + CV+ barua visizidi 6mb,
Kama bado ni pm
 
Back
Top Bottom