Mkuu toa kisomo kidogo kuhusu haya masuala ya job applicationUnaongelea CV au resume?CV huwezi kuiandika kwenye Page moja labda kama wewe ndio umetoka chuo.Resume unaweza kuiandika kwenye page moja ingawa huwa wanashauri iwe.pages 2 max.CV na resume ni vitu 2 tofauti.Kingine hizi zinatofautiana kulingana na kazi unayoitafuta.Ni pm nikupe maelezo nina uzoevu wa kuapply na kupata kazi hadi za nje ya nchi.
Hapana ni internship na hizo ndo sharti zake
Unaongelea CV au resume?CV huwezi kuiandika kwenye Page moja labda kama wewe ndio umetoka chuo.Resume unaweza kuiandika kwenye page moja ingawa huwa wanashauri iwe.pages 2 max.CV na resume ni vitu 2 tofauti.Kingine hizi zinatofautiana kulingana na kazi unayoitafuta.Ni pm nikupe maelezo nina uzoevu wa kuapply na kupata kazi hadi za nje ya nchi.
one page cv jaribu kuweka vitu iv
juu kabisa
majina yako kamili
>phone no# na email address pia location
weka
>Education background
>work experience
>extra activities/Additional infos
>skills
malizia kwa kuweka
>Referees
i guess utakua ume apply internship @.dfid waki kujibu for interview uje kutupa mrejesho apa apa kwenye huu uzi wako
Mkuu ntumie na mie hyo cv pmone page cv jaribu kuweka vitu iv
juu kabisa
majina yako kamili
>phone no# na email address pia location
weka
>Education background
>work experience
>extra activities/Additional infos
>skills
malizia kwa kuweka
>Referees
i guess utakua ume apply internship @.dfid waki kujibu for interview uje kutupa mrejesho apa apa kwenye huu uzi wako
ooiii mkuu ntumie na mie hyo cv pm tafadhaliNimekumbuka kuna sehemu nilipewaga kijiassignmnet cha kuandika C.V ya page moja ,yenye uzoefu wa kazi kumi ulizofanya na education level iwe PhD. ngoja nikutumie uione mfano na format ilivyokua
Wakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.
Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.
Kina Vitu Unatakiwa Ueleze Kwanza. Wewe Ni Mwanafunzi (Fresh From School) Au Umeshafanya Kazi Sehemu, Una-apply Kazi Iliyotangazwa Au Mtu Tu Kakutonya Kuhusu Kazi Sehemu.
Kwanini Nauliza Hayo Sababu Kuomba Kazi Ni Kujiuza Sawa. Hivyo Lazima Ujiuze Kutokana Na Mahitaji Ya Kazi. Wanataka Nini Kwenye Msisitizo Wa Tangazo Lao La Kazi; Experience Au Taaluma.
Mwisho Kazi Unayoomba Ni Nchini Au Nje Ya Nchi.
Vyote Nilivyosema hapo Vinauzito Sana Ili CV Yako Iwe Juu Kazi Ya CV Za Watu Wengine.
Nimeweka attachment kwa post angaria original post
Kama Ni UK Gov, CV Za System Zao Uweki Tarehe Yako Ya Kuzaliwa Kwanza Na Nafikiri Na Jina Pia Ila Hiyo Ni Sheria Mpya Sijajua Kama Imeshapitishwa
Sasa Hivi Natumia Simu Ila Kesho Asubuhi Nikiwa Kazini Nitaweza Kukupa Full Structure Ya CV Nzima Kutokana Na Mahitaji Yao.
Unaweza Kuni PM Experince Au Taaluma Yako Vingine Utaweka Mwenyewe Nikishakutumia Full Structure Au Skeleton Requirement
Nimeweka attachment kwa post angaria original post
Kwa Kusoma Haraka Haraka Tu Wanataka Mtu Atakaye
1-Deliver Results: Time Mgnt, Leadership
2- Working With Other: People Skills, Team working
3- L&D: Creativity, Flexibility, Results Driven
Ukitumia STAR Style Kueleza Experience Yako Mtaani Shuleni Kwenye Mambo Hayo Hapo Juu Vizuri Kwa Kingereza Kizuri Utaitwa Kwenye Interview.
Yote Kesho Za Hizi Kichwa Kimechangamka Kidogo
Mkuu, angalia hii sample, one page only, unaweza model yako based on that
Mbona Mwisho ilikua Juzi 12.2.2017 Mchana.
Unakuta kuna experience mpaka ya ukondakta wakati kazi ni yaofisini.Summarise experience nyeti zinazolingana na hiyo kaxi
Hyo ynyw ishakua edited na ikawa minimized so ww hapo huwez punguza zaidWakuu naomba mwongozo wenu jinsi ya kuandika au kuaandaa wasifu wa kurasa moja.
Ni vitu gani vinavyotakiwa na ni muhimu kama utatakiwa kuandika CV ya page moja.
Msaada wakuu na pia natanguliza shukrani.