Msaada: U torrent inakataa ku douwnload.

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Hodo wataalam, leo nimewakimbilia ili kupata msaada jana nilihangaika sana ku douwnload movie kadhaa lakini nilishindwa kwenye laptop, Natumia software inaitwa U torrent matokeo yake ikabaki kunionyesha hivi....

f21d9ebe62a6ecef0aa71038cbc67b34.jpg


Naomba msaada hapo tatizo nn
 
Before uja Download Movies kwa kutumia Torrent angalia Seeder wapo kias gan coz seeder ndo wanasaidia ww uwepate unachotaka Like movies, software etc seeder n Muhimu.
 
No seeder no anything and nimeona movies zako kama N za Long tym en Movies za long tym huwa kuna Seeder kidogo en pia nalo n tatzo Coz seeder wakiwa Kidogo huwez Uka Download movies or anything faster maybe iwe na MB kidogo sana Like 1-100MB
 
Kwanini usitumie idm mbona muvi hizo utazipata kwa speed nzuri.
 
Back
Top Bottom