Msaada; Tv yangu inasumbua

mkurya org.

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
1,571
Reaction score
1,697
Wanajamii nimearibikiwa na Tv yangu hapa ya LG sijajua tatizo lake mpaka saivi tatizo lake nikama inavyoonesha kwenye picha na pale unapoiwasha inatokea mwanga hafifu usio wa kawaida na screen inakuwa kama na mawingu mawingu hivi,,
Naomba msaada tafadhali kwa anayeijua hili tatizo linaweza kuwa nn.!!!

Note:
Picha nimezipiga tv ikiwa kwenye kitanda
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
mh..ila bora umeuliza mana kwend kwa fundi hunalolote unalolijua sio poa sanaa
 
Ukiambiwa imeharibika motherboard njoo nikuuzie kama tv yako ni 32 inches
 
Ukiambiwa imeharibika motherboard njoo nikuuzie kama tv yako ni 32 inches
kwa muonekano no inch 42 au 48
na kwa maelezo yake ya awali ni KIOO inaonesha INVETA za kioo zimezingua nina wasi mkubwa itamlazimu kununua KIOO KIPYA ambacho ni balaa bei
 
Peleka kwa fundi, hakikisha unapata fundi mzuri.
 
Kaka kama Fundi akikuambia kioo ni cha kununua kipya bora unune TV mpya tu
 
kwa muonekano no inch 42 au 48
na kwa maelezo yake ya awali ni KIOO inaonesha INVETA za kioo zimezingua nina wasi mkubwa itamlazimu kununua KIOO KIPYA ambacho ni balaa bei
Mkuu tv ni inch 32.
 
kwa muonekano no inch 42 au 48
na kwa maelezo yake ya awali ni KIOO inaonesha INVETA za kioo zimezingua nina wasi mkubwa itamlazimu kununua KIOO KIPYA ambacho ni balaa bei
Mkuu bei ya kioo kinaweza kuwa kama sh ngapi..??
 
Vioo adimu hapa tz ila mimi niliwahi agiza nikatumia kilinicost kama 240 hivi ila hapa nilihangaika na bado nkawa naambiwa 400 na bado sikupata
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hizi Tv nadhani zina tatizo hilo . Kama una warranty nenda wakubadilishie V.Card. Na watakuambia Tatizo ni ww umesababisha kwa kuchomoa flash/extrnal bila ya kuminya Back. Kwa maana nyepesi inatakiwa utoke kabisa kwnye uwanja wa video kama ulikua unaangalia video au uzime kabisa Tv ndio kisha uchomoe Flasha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…