Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 601
- 269
Ni Samsung 65” smart tv Curved
Ina mwezi 1 tangu ifike nilinunua China direct
Sasa juzi nikiwa naangalia mpira ghafla picha ikatoka nusu screen, kama dakika 5 hivi ikawa inabadili rangi, hatimae michirizi kama imedondoka au dizaini kama kioo kimevunjika
Ukweli haikuanguka hata kidogo na kabla ya hapo ilikua sawa tu
Pia Nilikua nikitumia flash ambayo ina Virus wa kutosha.
Mpaka sasa sijajua inaweza kua nini naombeni ushauri wenu waungwana.
Nikiizima baada ya muda kupita nikiwasha nakuta ipo Sawa kabisaa kila kitu
Hali hii inajirudia baada ya muda.
