Angalia kama taa ya standby anawaka bonyeza batan ya kuwashiwa kwenye rimot kwenye tv bonyeza bonyez batan kama haiwaki huwenda kuna tatizo ndani mfano kama ni flat huenda ikawa taa zimeungua kama ni chogo huenda ikawa kuna Transistor za kutanua mwanga zimekufa.
Na kama taa ya standbay haiwaki Basi power supply ina shida icheki waya inayotoka kwenye Extesion au fungua ndani cheki fuse ila kama wewe sio fundi ishia hapo kwenye kucheki Conection ya Waya tu. Kupeleka kwa fundi ni muhimu tu maana sasa kama wewe huwezi utafanyeje. Kikubwa cheki hezo vitu vya awali nilizokuambia. Ila kwa msaa zaidi je tv yako ni flat au Chogo? Pili Inawaka kale kataa fulani cha standbay au haiwaki. Na tatu kama ni fulat inatumia adapta kama ya akina azam au direct. Kama ina adapta yaani power supply ya nje jaribu kubadili hio adapta ila sana sana kama haiwaki hio taa ya stabay au kama ina deep deep