diesel engine
Member
- Mar 10, 2020
- 16
- 32
Msaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi.
Msaada pls
Msaada pls
Hio mpaka ifunguliwe huenda kioo ndio imevunjikame yangu ni analog kichogo ilianguka ndo ikaanza kutoa sauti no picha
Wewe bangi kweliNaipongeza serikali ya awamu ya tano ..naamini tv itaenda kuwaka tena
Mkuu hiyo itakuwa imeungua taa za ndani, hata mimi nilikuwa na tatizo Hilo mwakajuzi nilipeleka kwa fundi riverside hapa dar akaweka mpya Mambo Safi kabisaMsaaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani?? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi,,,, msaaada pls
Duuu mbona Bei iko juu Sana, Mimi nilipeleka kwa mafundi wa kawaida nilitoa 20000 ufundi na gharama ya taa ni 50000Hizo ni taa tu mzee peleka kwa Agent km ni LG pale posta.
Gharama ya taa ni 80,000 halafu ufundi 50,000 yangu ilipata tatizo km hilo pia
Kwa fundi wa kawaida bei ni ndogo ila ukipeleka kwa official agent bei inakua juu sababu sababu chochote kikiharibika yeue anawajibika....ukipeleka kwa official authorized agent lazima usain mkataba na wewe lazima akupe TV ikiwa nzima.Duuu mbona Bei iko juu Sana, Mimi nilipeleka kwa mafundi wa kawaida nilitoa 20000 ufundi na gharama ya taa ni 50000