Mafundi msaada kidogo, nina tv yangu (smart) imekata mwanga yenyewe ila inawaka kama kawaida. Je kitu gani hapo kwenye hiyo picha kinahitaji kubadilishwa?
View attachment 2790259
Kwahy inatoa gizaMafundi msaada kidogo, nina tv yangu (smart) imekata mwanga yenyewe ila inawaka kama kawaida. Je kitu gani hapo kwenye hiyo picha kinahitaji kubadilishwa?
View attachment 2790259
Kuna vitaa chini hapo vitakuwa vimeungua ..... Unaweza kununua au fundi akakufanyia maujanja ....Mafundi msaada kidogo, nina tv yangu (smart) imekata mwanga yenyewe ila inawaka kama kawaida. Je kitu gani hapo kwenye hiyo picha kinahitaji kubadilishwa?
View attachment 2790259