Ungesoma maelekezo yasingekukuta hayo, weka kumbukumbu ya kuacha kudhani.Siku za nyuma nilinunua Smart TV ya LG yenye ukubwa wa inch 55 model number 55SM90. Katika Katika kui unbox nikabandua karatasi la plastiki lililokuwa kwenye kioo nikidhani ni yale makaratasi kama kwenye simu kumbe ni sehemu ya kioo, nimeshtuka nimeshabandua mpaka katikati nikawasha TV nusu haiwaki sehemu niliyo bandua.
Nikaenda Mnazi mmoja kwenye workshop ya LG, muhindi akaniambia kubadili kioo inabidi nitoe 1.5m kiagizwe korea na kitafika baada ya miezi mitatu, nikaona heri ninunue TV ingine.
Shida ni hii iliyoharibika nimekaa nayo muda mrefu iko ndani tu.
Hakuna namna naweza iuza? au kupata kioo replacement cha bei nafuu?
Kwamba ni rahisi hivyo kubandua plastic. Pole sana mkuu, sema LG utaishi nayo sana kwa ubora ule ule.Katika kui unbox nikabandua karatasi la plastiki lililokuwa kwenye kioo nikidhani ni yale makaratasi kama kwenye simu kumbe ni sehemu ya kioo, nimeshtuka nimeshabandua mpaka katikati nikawasha TV nusu haiwaki sehemu niliyo bandua.
Ushauri wangu ni kwamba rudi dukani ulipoinunua, huenda muuzaji akawa na Tv nyingine aina kama hiyo yenye tatizo jingine na kioo ni kizima ili uinunue kwa discount na kubadili kioo chake na kuhamishia kwenye yako. Wakuu nawashauri muhamie Samsung ndio mpango mzima kwenye mambo mengi ya Electronics na pia kwenye Tech ya nano Cell wako vizuri.Siku za nyuma nilinunua Smart TV ya LG yenye ukubwa wa inch 55 model number 55SM90. Katika Katika kui unbox nikabandua karatasi la plastiki lililokuwa kwenye kioo nikidhani ni yale makaratasi kama kwenye simu kumbe ni sehemu ya kioo, nimeshtuka nimeshabandua mpaka katikati nikawasha TV nusu haiwaki sehemu niliyo bandua.
Nikaenda Mnazi mmoja kwenye workshop ya LG, muhindi akaniambia kubadili kioo inabidi nitoe 1.5m kiagizwe korea na kitafika baada ya miezi mitatu, nikaona heri ninunue TV ingine.
Shida ni hii iliyoharibika nimekaa nayo muda mrefu iko ndani tu.
Hakuna namna naweza iuza? au kupata kioo replacement cha bei nafuu?
nilirudi dukani immediately kuuliza kama kuna namna wanaweza kunisaidia ila wakasema wao hawana msaada wanauza tu bidhaa mpya, wakanielekeza niende kwenye workshop ya LG mnazi mmoja, ndiyo nikaishia kuambiwa nitoe 1.5m ili waagize kioo kipyaUshauri wangu ni kwamba rudi dukani ulipoinunua, huenda muuzaji akawa na Tv nyingine aina kama hiyo yenye tatizo jingine na kioo ni kizima ili uinunue kwa discount na kubadili kioo chake na kuhamishia kwenye yako. Wakuu nawashauri muhamie Samsung ndio mpango mzima kwenye mambo mengi ya Electronics na pia kwenye Tech ya nano Cell wako vizuri.
mwanzo ilikuwa rahisi kubandua ila nilipofika katikati ikawa ngumu ndiyo nikashtuka isije ikawa naharibu, nikasema ngoja kwanza niiwashe asalaleeee ndiyo nikakutana na balaa hiloKwamba ni rahisi hivyo kubandua plastic. Pole sana mkuu, sema LG utaishi nayo sana kwa ubora ule ule.
Pole sana mkuumwanzo ilikuwa rahisi kubandua ila nilipofika katikati ikawa ngumu ndiyo nikashtuka isije ikawa naharibu, nikasema ngoja kwanza niiwashe asalaleeee ndiyo nikakutana na balaa hilo
Pole sana.mwanzo ilikuwa rahisi kubandua ila nilipofika katikati ikawa ngumu ndiyo nikashtuka isije ikawa naharibu, nikasema ngoja kwanza niiwashe asalaleeee ndiyo nikakutana na balaa hilo
Unajua hawa Maagent wa hizi kampuni zinazotuuzia vifaa vya electronics muda mwingine huwa kama wagonjwa, Tv mpya 2/2.5m, ila kioo ni 1.5m si ni bora ujipange ununue nyingine mpya. Hamia Samsung mkuu. Lakini pia usikate tamaa endelea kutafuta utafanikiwa.nilirudi dukani immediately kuuliza kama kuna namna wanaweza kunisaidia ila wakasema wao hawana msaada wanauza tu bidhaa mpya, wakanielekeza niende kwenye workshop ya LG mnazi mmoja, ndiyo nikaishia kuambiwa nitoe 1.5m ili waagize kioo kipya
Ngoja kwanza kitu ulichobandua kinafananaje? kama karatasi flani hivi tinted au?nilirudi dukani immediately kuuliza kama kuna namna wanaweza kunisaidia ila wakasema wao hawana msaada wanauza tu bidhaa mpya, wakanielekeza niende kwenye workshop ya LG mnazi mmoja, ndiyo nikaishia kuambiwa nitoe 1.5m ili waagize kioo kipya