adakiss23 JF-Expert Member Jan 23, 2011 4,477 4,270 Nov 25, 2012 #1 Wadau mwenye kujua wapi naweza pata suti nyeusi nzuri matata sana! Next week kuna sendoff ya koloni langu 1 hivi.. Shukrani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wadau mwenye kujua wapi naweza pata suti nyeusi nzuri matata sana! Next week kuna sendoff ya koloni langu 1 hivi.. Shukrani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Makbel JF-Expert Member Aug 14, 2011 774 165 Nov 25, 2012 #2 adakiss23 said: Wadau mwenye kujua wapi naweza pata suti nyeusi nzuri matata sana! Next week kuna sendoff ya koloni langu 1 hivi.. Shukrani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... Usije ukaliazisha tifu kwenye Send off ya watu baada kuona koloni lako limependeza kupita maelezo.
adakiss23 said: Wadau mwenye kujua wapi naweza pata suti nyeusi nzuri matata sana! Next week kuna sendoff ya koloni langu 1 hivi.. Shukrani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... Usije ukaliazisha tifu kwenye Send off ya watu baada kuona koloni lako limependeza kupita maelezo.