Msaada Tutani!

Msaada Tutani!

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,906
Reaction score
5,285
Wadau mwenye kujua wapi naweza pata suti nyeusi nzuri matata sana! Next week kuna sendoff ya koloni langu 1 hivi.. Shukrani!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wadau mwenye kujua wapi naweza pata suti nyeusi nzuri matata sana! Next week kuna sendoff ya koloni langu 1 hivi.. Shukrani!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Usije ukaliazisha tifu kwenye Send off ya watu baada kuona koloni lako limependeza kupita maelezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom