Shikamoo shangazi 😁Kuna rafiki yangu aliomba aingie huko,,kuhusu boksi sijui.
Umesema nijitetee,,nakuambia Kuna best yangu aliomba aingie huko chooni,,kuhusu ulichokutana nacho mie sijui.sija kuelewa
😁 mambo mremboDaah,,,shangazi tena🙌
Sitaki
Ee kwani haiwezekani,,Kuna urafiki wa Pete na kidole mna share vitu vingi.choo ambacho natumia mimi na wewe na kuna choo cha public how come
Poa,shikamoo anko.😁 mambo mrembo