Msaada tutani

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Wakuu poleni na majukumu...heri ya mwaka mpya...hapa Kuna pipe ya chuma imekatika naombeni kufahamishwa matumizi yake kwenye gari...na je matengenezo yake hugharimu gani kiasi gani?
PXL_20240103_075114490.jpg
PXL_20240103_075052824.jpg

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hio ni stabilizer bar aka anti roll bar. Kama jina lake lilivyo ndio lina stabilize gari kuepusha rolling. Kama umeshtukia baada ya kukatika gari inatishia kujipiga ngwara, usiendeshe speed kali kuanzia sasa hadi ulibadiliishe vinginevyo utapindua gari usijue limepindukaje.
 
Asante mkuu...mungu ni mwema Jana nilikuwa speed Sana

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom