Msaada tutani!!

Mbozi

Member
Nov 28, 2008
6
8
Naomba mtu yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu hivi vyuo viwili vinavyotoa elimu ya kiwango cha shahada kwa njia ya mtandao:
1: Califonia Pacific University na
2. Frederick Taylor University.

Je, vyeti vyao vinakubalika kwa kutaka kuendelea na elimu ya juu hapa Tanzania?
 
E-mail NECTA/Wizara ya Elimu watakujibu
 
Back
Top Bottom