msaada tutani

msaada tutani

Elma

New Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2
Reaction score
0
napenda sana picknik ila sijapata wapenzi wake mnanisaidiaje?
 
@tigger mkiwa mwajiandaa nialike please!
 
wekeni na akiba ya kadi za smile,mamdogo,mamndenyi,douhter,zinduna,preta,cantalisia na asha dii wameconfirm uwepo wao!!
 
wekeni na akiba ya kadi za smile,mamdogo,mamndenyi,douhter,zinduna,preta,cantalisia na asha dii wameconfirm uwepo wao!!
Uko sahihi kbs mamito!
Niko available wakati wowote kadi tafathali nitaipitia kwako fais!
 
picnic nzuri njooni korogwe huku tanga hamtakuja kusahau milele..! ni bomba kinyamaa yaniiiiia..!
 
nami pia ila niko mbali,nawatakia safari njema ya korogwe.Nalog off
 
Back
Top Bottom