Msaada tutani.

Dena Amsi,...nampenda huyo msichana

Humpendi nakwambia ungempenda ungemwambia mapema kabla hamjaanza mahusiano nikwambie kwa sasa anaonyesha mapenzi lakini ulishamdisapoint toka mwanzo hakuachi kwa sababu zilizonje ya uwezo wake.

Nikwambie kimoja ni afadhali nikutane na wewe uniambie kila kitu hata kama ulishaoa wanawake mia nitachuja je nikubali au nikatae sio nije kwako ndo nakuta picha za mwanamke au mtoto ndo uanze kuniambia napoteza upendo wote niliokuwa nao toka mwanzo amini amini nakwambia.

Na huyo msichana wa pili hana raha unajua anawaza kuwa aahh huyu jamaa alishazaa na mwanamke mwingine wakirudiana itakuwaje na hawakuachana kwa ugomvi???Utarudi kuniambia siku moja hapa. Ameshapoteza imani na wewe chunguza vizuri. Kama huyo dada uliyezaa nae ameamua kurudi rudiana nae kwa ushauri wangu.
 
Na hapo ndipo penye utata,...napenda na kupendwa sana na wote wawili,..........

Kwahiyo unawapenda wote 50/50????Haya andika majina yao kwenye vikaratasi..vichanganye then fumba macho uchague!
 
Humpendi nakwambia ungempenda ungemwambia mapema kabla hamjaanza mahusiano nikwambie kwa sasa anaonyesha mapenzi lakini ulishamdisapoint toka mwanzo hakuachi kwa sababu zilizonje ya uwezo wake.

Nikwambie kimoja ni afadhali nikutane na wewe uniambie kila kitu hata kama ulishaoa wanawake mia nitachuja je nikubali au nikatae sio nije kwako ndo nakuta picha za mwanamke au mtoto ndo uanze kuniambia napoteza upendo wote niliokuwa nao toka mwanzo amini amini nakwambia.

Na huyo msichana wa pili hana raha unajua anawaza kuwa aahh huyu jamaa alishazaa na mwanamke mwingine wakirudiana itakuwaje na hawakuachana kwa ugomvi???Utarudi kuniambia siku moja hapa. Ameshapoteza imani na wewe chunguza vizuri. Kama huyo dada uliyezaa nae ameamua kurudi rudiana nae kwa ushauri wangu.

nice,

shikamoo
 
OLD IS GOLD, rudi kwa uliyezaa naye,kwanza anakupenda mpaka akaamua kurudi. usimuangushe kwa hilo, ni vema mtoto wako akalelewa na baba na mama mzazi katika malezi bora ya ndoa..huyo mwingine ni dent mwache atapata mume mwingine as long hajazaa ni rahisi kupata mchumba,
MkUU,
Ni kwamba hapo ndipo panapo nipa utata na mkanganyiko wa mawazo,ila kuhusu la huyu kuwa denti na atapata bwana mwingine ni gumu kidogo kwa jinsi navyoona maake si unajua mambo ya mapenzi i.e jinsi navyoona ni kwamba ataumia sana na ataniona mm ni muongo na msaliti,....i am ril confused.....
 
mmmh,
mkuu wewe ni mtu mzima..umesoma na umemaliza chuo..Hapo kwenye RED, kwa nini huyo binti ashindwe kupata bwana mwingine, (umemfanya nini?), yaelekea ume-INVEST sana kwake..

Hapo kwenye BLUE, ukimweleza ukweli, ataumia kwa muda lakini utakuwa umeokoa maisha yako, na ya kwake pia..
Kama kweli unampenda, basi mpe nafasi, asuburi mume mwingine..
 
"If you love something/some1,set it free.If it/she/he comes back,it was,and always will be yours.If it/she/he never returns,it/she/he was never yours "..........quoted and well said

mkuu unatema ung'eng'e tu. Lol.
 
[/COLOR]
mmmmh!..........

Sasa naomba nikuulize swali...unataka tukushauri nini haswa??
Maana kwa maelezo yako yaliyofuatia ushauri unaopewa ni kwamba hutaki kumuacha mwanafunzi wako....hamna sehemu inayoonyesha unamtaka mama watoto. Maamuzi umeshafanya hata kama mwenyewe hujagundua/taka kukubali!!Mweleze dada wa watu haraka kwamba umempata mwingine ili aanze kujipanga kivyake.
 
Maisha ni lazima yasonge mbele bila kujali nyuma kilitokea nini.
Ndoa ni ya watu wawili ila ndugu zetu wana nafasi fulani katika maisha yetu.
Mara zingne sio busara kufanya vitu kwa kulazimisha na sio vizuri kuvunja moyo wa mtu.
Sikushauri urudiane na huyo mama mtoto maana ndoa yenu ishakuwa na misukosuko kabla hata hamjaifunga.
 
MkUU,
Ni kwamba hapo ndipo panapo nipa utata na mkanganyiko wa mawazo,ila kuhusu la huyu kuwa denti na atapata bwana mwingine ni gumu kidogo kwa jinsi navyoona maake si unajua mambo ya mapenzi i.e jinsi navyoona ni kwamba ataumia sana na ataniona mm ni muongo na msaliti,....i am ril confused.....
jipe moyo konde rudiana na mama wa mtoto wako unajua kuna mtoto na ulishampenda sana sidhani kama inaweza kukutoka mapema, mwambie mpenzi wako wa sasa atakuelewa kama huta mficha kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom