Msaada tutani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by IGWE, May 4, 2011.

 1. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nilpokua nasoma chuo nilkua na mahusiano na msichana mmoja ambaye kwa imani yake ni muislam na mm ni mkristo,akapata uja uzito na kujifungua baby boy_we love and respect each other,nikahitimu chuo na kupata kazi arusha ambapo nipo mpaka sasa.

  Baba wa msichana huyo alifariki muda kidogo na ana kaka yake ambaye alikua anaishi nchi moja huko ulaya kwa miaka mingi na hivyo wakati naanza uhusiano na mdada huyo,huyo kaka ambaye ni shemeji yangu hakuwepo alikua bado ulaya na sasa amerudi tz,...akamwambia mama mtt wangu hakuna kubadili dini na wala haitaji dada yake aoelewe na mkristo_ingawa hapo mwanzo mpenzi wangu na wanafamilia waliridhia hilo.Basi mama mtt wangu kwa sababau tulipendana akataka kuforce lakn nikajitahidi kumshauri ili amweleweshe kaka yake mpaka akubali lakn ikashindikana.
  Tukafikia mwafaka mwezi wa 8 mwaka jana ili tuachane ingawa kwa maumivu makubwa kwani bado tulipendana.

  Nikarudi Arusha na kuanza maisha mapya yenye upweke na machungu ndani yake,as time went on nikapendane na mdada mwingine anasoma bado ingawa atamaliza mwaka huu,tumekubaliana kuoana mambo yakiwa fresh_tunapendana sana.

  Sasa,imetokea yule mama mtt wangu anasema ameamua kuja arusha kuanza maisha na mm kwan bila mm anahisi maisha hayajakamilika.

  Angalizo;Niliachana nae bila kugombana na hivyo mapenzi yalikatishwa na ana mtt wangu,lakn huyu mpnz wangu niliye nae kwa sasa nampenda nae ananipenda na kuniheshimu sana na hivyo naogopa kumuumiza na kumpotezea mwelekeo wa maisha yake.

  WanaJF naombeni ushauri wenu on how to go about it,.........nawasilisha
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaogopa kumpotezea ambae hujazaa nae muelekeo wa maisha ila huogopi kumpotezea ambae tayari ana mwanao???

  Nwy inaonekana wote mlikua hamjaamua kwamba mnataka kuwa pamoja kikweli kweli maana kaka sie anaekua mume/mke mpaka mfuatishe anavyotaka wakati familia ilishakubali na kukutambua hapo mwanzo!!Siwezi kukushauri uwe na mwenye mtoto kwa kumuonea huruma ili msije mkanyanyasana baadae maana madhara ya kuwa pamoja kwa kuoneana huruma ni makubwa kwa pande zote mbili.Kwahiyo jichunguze mwenyewe bila kumuonea huruma yeyote ujue moyo wako uko wapi...linganisha sifa zao...tabia zao...mapungufu yao....mapenzi yao kwako na mapenzi yako kwao kujua yupi ungependa kufunga nae pingu za maisha!!!USIKURUPUKE usije ukaishia kusema ningejua ningejua huko mbeleni!
   
 3. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Lizzy umemaliza kabisa mamito, inaonyesha mwanzoni hamkuwa na uhakika kama mnataka kuishi pamoja. Ila sasa kama alivyosema lizzy jichunguze moyo wako umeelemea wapi na sio kwa vigezo labda vya uzuri, elimu, pesa n.k Jichunguze ni yupi unampenda kwa dhati hata itokee nini utakua nae bega kwa bega.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  "If you love something/some1,set it free.If it/she/he comes back,it was,and always will be yours.If it/she/he never returns,it/she/he was never yours "..........quoted and well said
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kama bado unampenda mama mtoto wako nakushauri urudiane nae....lah hasha,muambie ukweli kwamba ulishaanza uhusiano mwingine baada ya kaka yake kugoma yeye kuolewa na wewe na kwa hatua mliyofikia huwezi muacha tena huyo dada mwingine anayesoma....nakushauri ukubali kuendelea na majukumu ya kumtunza mtoto na yeye pale inpobidi.....yahitaji kutulia tu kwa muda na Mungu akusaidie kuamua lililo sahihi....ila kama alivyosema Lizzy,usiongozwe na huruma,angalia unapopenda na kupendwa zaidi.
   
 6. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  well said Michelle,

  Kama ni huruma basi amuoneshe huyo aliyezaa naye, kwani huyo ndo ana chance kubwa ya future yake kuharibika kuliko huyo ambaye anasoma.. ( assumption ni kwamba mwanamke akisha zaa, uwezekano wa kuolewa na mwingine unapungua, na pia anaweza asiwe na uhuru kamili katika ndoa na mtu mwingine)
  Usiache kulea mwanao, pia kama mama yake anapenda kuishi nawe, ni vyema ukaishi naye..

  Zingatia kwenye blue..
  Lakini uendeshwe na upendo zaidi
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hapo kweli unahitaji msaada kwenye mteremko sio tutani.

  Ningekuwa mimi ni wewe ningefanya haya:
  Ooohh kabla sijaendelea nikuulize swali huyo mpenzi wako mpya ulimweleza kuhusu hilo??? Jibu halafu ndo nikupe ushauri
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Na hapo ndipo penye utata,...napenda na kupendwa sana na wote wawili,..........
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Alikuta picha akauliza na nikamuelza ukweli kwamba ni mama mtt wangu ambaye tulitaka kuoana lakn ndugu zake wamesema hawataki abadili dini na wala aolewe na muislam_kwani ndio uhalisia wenyewe,na akaniuliza je?..ikitokea mmerudiana nikamhakikishia kua haiwezekani kwan juhudi za usuluhishi zimefanyika na kushindikana,.........
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nafikiri kati ya hao wawili utakuwa umeishajua na kusoma tabia ya kila mmoja vizuri na hapo ndipo utakapoamua ni yupi uwe nae, ANGALIZO:USIHUSISHE HURUMA KWENYE JAMBO HILI, najua ni vigumu kufanya maamuzi ila lazima mmoja wapo aumie kwa maamuzi utakayoyafanya ila cha msingi zingatia nini moyo wako unataka na nini unahitaji kwa vile tayari umeishakuwa na mahusiano na hao wawili basi tunaweza kusema unawajua vizuri. All the Best
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Then nakushauri urudiane na mama mtoto wako....against all odds,ameamua kuwa na wewe....si rahisi mwanamke kwenda against kaka yake kuwa na wewe.....heshimu hilo na mjenge maisha yenu pamoja.
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  There you go, i don't know whether you made a promise to her if you did i would advice you to keep it
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  yes......i did kiongozi
   
 15. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Its o.k,...lakn familia imegoma _na je likitokea la kutokea ntali handle vip....maake sisi ni binadam anything can happen........sina support yeyote kutoka kwa familia yao_msimamo ni kwamba either mm nibadili din au asiolewe na mm
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ahhhh kumbe mpaka amekuta picha ndo ukamueleza humpendi huyo msichana wa pili rudi kwa mwanamke uliyezaa nae
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  You have to make a decision that you wont regret it later on.
   
 18. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Dena Amsi,...nampenda huyo msichana
   
 19. BLISS

  BLISS Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OLD IS GOLD, rudi kwa uliyezaa naye,kwanza anakupenda mpaka akaamua kurudi. usimuangushe kwa hilo, ni vema mtoto wako akalelewa na baba na mama mzazi katika malezi bora ya ndoa..huyo mwingine ni dent mwache atapata mume mwingine as long hajazaa ni rahisi kupata mchumba,
   
 20. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ni kama vile ulishafanya maamuzi, na umekuja tu JF ili tukuthibitishie kuwa ni OK kubaki na huyo msichana wa chuo..

  Kama ambavyo ulikuwa hujui nini kingetokea kwa huyo mama mtoto wako, vile vile huwezi kujua nini kitatokea kwa huyo binti wako wa chuo...

  Mkuu, as long as huyo mama mtoto kaamua kuishi na wewe, sioni tatizo..kwa sababu wewe hauoi familia yake yote, na utaishi na mke wako..

  Mi binafsi nakushauri tena, mchukue mama mtoto..huyo msichana wa chuo bado ana nafasi ya kupata mwingine..
  Ila mwisho wa siku ni uamuzi wako tu.
   
Loading...