am a graduate,currently working at Mwanza,a permanent work!I have a girlfriend who works temporaly at a certain NGO in Arusha,as Loan officer.NGO ni ya kukopa na kukopeshana,it's almost a year now,since we started our relatioship.Ana advanced diploma in procurement na exprience ya mwaka 1,katika kazi nilyotaja hapo juu!,wazazi wake wanaishi Singida.Wangu Mza.Tumepanga kuoana mwezi wa 12 mwaka huu!Sasa tuna miezi 4 tupo mbali ila tunatembeleana.Sasa yeye amekuja na mapendekezo haya ambayo nami nimemkubalia na ndipo hapo mwenye msaada anisaidie!!Ni kwamba kwa kuwa mimi tayari nina permanent ajira,na yeye kajishikiza,basi yupo tayari kuhamia Mwanza,kama atapata ajira huku ya kudumu au kujishikiza,kwa kuwa hata hiyo aliyonayo mapato yake ni kiduchu alikosa pa kujishikisha(nina uhakika na hili).Kaja na pendekezo hili ili mipango yetu itimie.Mwenye msaada tutani!!ajira Mwanza jamani,ingawa nami namtafutia sijachoka!!!
Pole sana mkuu! Kwa mtazamo wangu, wewe kama mshauri wake mkuu inakupasa kujua kuwa Lady always are concluding before reasoning, yeye keshaweka hitimisha fikra zake kuwa as soon as akiacha tu kazi Arusha atapata kazi mwanza! Mpige shule kuwa katika hali ya sasa ni vema apate kazi kwanza before hajafikiria kuacha hiyo anayodai ni ya kipato kidogo. Lakini pia kama unadhani mnaweza kum-support capital akawa mjasiriamali is good ingawa hy nayo is risk kwani hamjaoana na hvyo unaweza kukuta mpo wawili na wewe upo nafasi ya pil.
Nashauri for the sake of your marriage and friendship. Apige chinni kazi aje mkae hapo mkisubiri kuoana. Hivi jamani mbona mnaogopa kukaa bila kazi ni kwamba hamjiamini au? Mimi bwana mume wangu akihama na kazi naacha naenda naye. Unaweza sababisha maafa makubwa maishani mwako na majuto yasiyo ya lazima.
Angefukuzwa kazi je? ungefanyaje? Ebu jaribu kufikiria mambo yote siyo kung'ang'ania kwenye point moja. Kama mnapendana mwambie aje mwanza akae hapo apike msosi mtamu mle, mshibe mfurahie maisha yenu. Kama ni wa kupata kazi atapata tu. Hivi nani kati yenu hajui maisha biila kazi?