potrayed
Senior Member
- Aug 19, 2013
- 189
- 84
Wanajukwaa naombeni msaada juu ya kupata "CI MODULE" ya receiver maana nimepata tv ikiwa na DVB-t Receiver ndani yake na baada ya ku-searche nilibahatika kupata jumra ya channels 56 yaani za ndani na nje ya nchi ila zote zinatoa message ya "NO CI MODULE" nimejaribu ku-google na kuona hiyo ci module ni kama kadude mfno wa hard disk ndogo ya laptop,sasa wanajopo cjui nitaipata wapi hyo CI MODULE kwa hapa Bongo ambayo ni Universal au ni pay-tv au free-to-air au Dtv? NAOMBA KUWAKILISHA