Adobe Page maker.
Thanx Mkuu, maelezo kidogo basi namna ya kufanya.Adobe Page maker.
Hii mkuu nimejaribu lkn wakati wa kuprint haikai kwenye A5 inaacha nafasi kubwa pembeni na vile vile ina exceed A5 kwa urefu.Hata Ms-Word unaweza kutengeneza, ingia kwenye Ms-Word click page layout, then size chagua A5 yako halafu endelea na kazi yako ya kuchapa tayari unayo size ya A5 unayoitaka.