Msaada tutani wadau

Msaada tutani wadau

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Heshima kwenu wadau wa jamvi hili, naomba mwenye ujuzi na visual basic6.0 anisaidie namna ya kuregister object library
maana kila nikiselect inaniambia "object library not registered in registry", tafadhal wadau help.
 
Duh! inamaana hakuna hata mdau mmoja mwenye ujuzi na hii lugha waungwana!!?? au ndo mmezira?
 
Umeinstal vb 6 kwenye OS gani?
 
Back
Top Bottom