Hii hapa. Fedha yako utakayo nunulia itarudi ndani ya miezi 3 ukipata dereva mzuriHabari zenu wakuu!
Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa
Ni aina ipi ya pikipiki(bodaboda) inafaa kwa biashara ya bodaboda, ukiangalia uimara, matumizi mazuri ya mafuta na mambo mengine.
Nataka kuanza biashara hii sasa nataka niingie nikiwa kamili, nisjute baadae kwa wrong choice.
Nawashukuruni wadau wajasiriamali.
Asante sana!
Acha uwonggo hebu fafanua
Wacha weee....tumelewa au
Yaan ununue box 150 kwa tsh 2.000.000 thn 3 months hela imerud afafanue
Miezi 3 = siku 90
Hesabu ya siku = Tshs 50,000/=
Mapato kwa miezi 3 = Tshs 50,000.00 x 90 = 4,500,000.00
Hapo hiyo 2,000,00.00 pamoja na service na kutoa jumapili hela yako haijarudi?
Wewe si mtu makini.
Hii ni iwapo wewe mwenyewe ndio dereva.Miezi 3 = siku 90
Hesabu ya siku = Tshs 50,000/=
Mapato kwa miezi 3 = Tshs 50,000.00 x 90 = 4,500,000.00
Hapo hiyo 2,000,00.00 pamoja na service na kutoa jumapili hela yako haijarudi?