Msaada tutani: Pikipiki ipi ni bora kwa biashara

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,703
1,797
Habari zenu wakuu!

Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa
Ni aina ipi ya pikipiki(bodaboda) inafaa kwa biashara ya bodaboda, ukiangalia uimara, matumizi mazuri ya mafuta na mambo mengine.
Nataka kuanza biashara hii sasa nataka niingie nikiwa kamili, nisjute baadae kwa wrong choice.
Nawashukuruni wadau wajasiriamali.
 
Hii hapa. Fedha yako utakayo nunulia itarudi ndani ya miezi 3 ukipata dereva mzuri
Bajaj+Boxer+150cc+2.jpg

Bajaj boxer 150cc
 
Nunu Sanlg, hiyo boxer spea zake ni bei juu sana ingawa ni pikipiki safi sana. Zingatia kuwa kila mwezi utakua unabadilisha jembe(sprocket) na mnyororo plus kumwaga oil.
 
asante kwa ushauri.
 
Yaan ununue box 150 kwa tsh 2.000.000 thn 3 months hela imerud afafanue

Miezi 3 = siku 90
Hesabu ya siku = Tshs 50,000/=
Mapato kwa miezi 3 = Tshs 50,000.00 x 90 = 4,500,000.00

Hapo hiyo 2,000,00.00 pamoja na service na kutoa jumapili hela yako haijarudi?
 
Wewe si mtu makini.
 
Miezi 3 = siku 90
Hesabu ya siku = Tshs 50,000/=
Mapato kwa miezi 3 = Tshs 50,000.00 x 90 = 4,500,000.00

Hapo hiyo 2,000,00.00 pamoja na service na kutoa jumapili hela yako haijarudi?
Hii ni iwapo wewe mwenyewe ndio dereva.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom